malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,897
- 4,660
Habar wakuu mim nimwanume umri miaka39 baada yakuhangaika sana na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu takribani miaka 9 bila kupata ufumbuzi.mwaka2023 nilibahatika kukutana na professor mmoja wa urology baada nae pia kunifanyia vipimo nakugundua Sina tatizo lolote Zaid ya tatizo la hormones za thyroids nililolipata miaka ya hivi karibu
Doctor aliniandikia nitumie dawa ya tadalafi 20mg,kweli nilianza kutumia nkawa naona mabadiliko makubwa sana ktk sex nakwenda mda mrefu tu Hadi nichoke mwenyewe na dawa ikawa inakaa mwilini Hadi siku mbili mfululizo nafanya vizur tu
Sasa basi nimejikuta kwa miaka hii tangu 2023 nishatumia tadalafi Zaid ya mara 40 kwavipind tofaut tofauti hii imenifanya niwe addicted na mara nyingi imepelekea kuogopa kufanya tendo bila hiyo dawa,,ila Kuna mara nyingi tu napumzika situmii dawa kwa muda naninafanya vizur tu tendo la ndoa walau dk8 ila kurudia siwezi round nyinge napia Kuna nyakati najikuta hamu yakushiriki uume unasimama nkiingiza ukeni unalala hapo hapo au unalala katikati ya tendo
Nifanye nini niweze kupona niweze kufanya tendo bila kufeli uume usimame na niweze kufanya bila dawa msaada wenu tafadhali