Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

Midozenj01

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
422
Reaction score
422
Habari Wakuu, Kamakawaida mtafutaji hachoki, Leo bana nimekuja na kipengele hicho hapo juu kama heading inavyojieeza, naimani uzi huu utakuwa solution kwa wengi sana.

Mimi ni mpambanaji najitafuta nimekuwa nikihusle sana kulipia bidhaa zangu China kwa Suppliers hususani katika njia ambazo ni safe, Mwanzo nilikuwa nikitumia bank accounts but nikaacha kwakuwa kima ni kidogo badae nikahamia Alipay sasa nao wameweka limitations za miamala kwa Mwaka.

So it comes to be very hard now especially when you want to pay let say 20M at once.

All in All kwa mdau mwenye Experience na hizi mbanga naomba tupeane muongozo sababu naamini kuna njia ipo ikiwa importation za containers zinafanyika so people use to pay alot than you can imagine.

Anyway tuwekane sawa hapo wakuu hata kama ni DM it's OK let's do it.
 
Wanatoa hio huduma.
Samahani mkuu kama utaweza niweka wazi hapo sababu siku 1 nilipiga simu customer care wao nilikuwa na shida zingine ila nikajaribu kuulizia hili akaruka na kuniambia hawana hii huduma, Naomba kama kuna namna au hata contact mkuu utakuwa umenisaidia mno.
 
Inategemea huyo supplier mmekutana kwe ye mazingira yapi.

Kama ni mtandaoni (Alibaba, etc ) tumia Alipay, Trade assurance
 
Habari Wakuu, Kamakawaida mtafutaji hachoki, Leo bana nimekuja na kipengele hicho hapo juu kama heading inavyojieeza, naimani uzi huu utakuwa solution kwa wengi sana.

Mimi ni mpambanaji najitafuta nimekuwa nikihusle sana kulipia bidhaa zangu China kwa Suppliers hususani katika njia ambazo ni safe, Mwanzo nilikuwa nikitumia bank accounts but nikaacha kwakuwa kima ni kidogo badae nikahamia Alipay sasa nao wameweka limitations za miamala kwa Mwaka.

So it comes to be very hard now especially when you want to pay let say 20M at once.

All in All kwa mdau mwenye Experience na hizi mbanga naomba tupeane muongozo sababu naamini kuna njia ipo ikiwa importation za containers zinafanyika so people use to pay alot than you can imagine.

Anyway tuwekane sawa hapo wakuu hata kama ni DM it's OK let's do it.
nitafute Mimi, malipo ni ndani ya dakika 40, nitumie Alipaycode au WeChat pay code tu
 
Mtumie shipper wako.

Hii ni njia sahihi hasa kama muuzaji sio legitimate, sio kampuni au kuna dalali.
Njia za kibenki kama TT transfer, Western Union, Visa paywave ni salama kama hela itaenda kwa mhusika. Mhusika akiamua kukutapeli hamna hawatahusika wala hawatakuwa na namna ya ku reverse muamala.

Kwa iyo RR, umeshauri vizuri, akipata invoice, akipata Shipper, amlipe Shipper vyote yaani CIF, Shipper ampe Supplier chake, japo inategemea, Shipper anaweza kataa kutake risk hiyo, hasa kama Muuzaji hamwamini.
China wajanja wengi.
 
Samahani mkuu kama utaweza niweka wazi hapo sababu siku 1 nilipiga simu customer care wao nilikuwa na shida zingine ila nikajaribu kuulizia hili akaruka na kuniambia hawana hii huduma, Naomba kama kuna namna au hata contact mkuu utakuwa umenisaidia mno.
Mkuu shipper wote wa Kibongo wanatoa hio huduma. Kama hao hawatoi achana nao. Tafuta shipper anaetoa hio huduma. Shipper ataealipa hao na atapokea mzigo kwenye warehouse yake.
 
Hii ni njia sahihi hasa kama muuzaji sio legitimate, sio kampuni au kuna dalali.
Njia za kibenki kama TT transfer, Western Union, Visa paywave ni salama kama hela itaenda kwa mhusika. Mhusika akiamua kukutapeli hamna hawatahusika wala hawatakuwa na namna ya ku reverse muamala.

Kwa iyo RR, umeshauri vizuri, akipata invoice, akipata Shipper, amlipe Shipper vyote yaani CIF, Shipper ampe Supplier chake, japo inategemea, Shipper anaweza kataa kutake risk hiyo, hasa kama Muuzaji hamwamini.
China wajanja wengi.
Kutumia shipper ni rahisi na salama. Wachina hawaeleweki.
 
Back
Top Bottom