msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa kimalezi na kisaikolojia kwa mtoto huyu anayezunguka na Mama yake anayetembea kwa miguu na mikono barabara ya Uhuru Kariakoo.

    Huyu mtoto anaharibikiwa kisaikolojia,mtoto anayetakiwa kushikwa mkono anamshika Mama yake mgongoni,kwa sababu Mama yake anatembea kwa magoti na mikono,yule mtoto anatazama watu anaogopa anahisi labda yeye ni kiumbe kingine,mtoto mdogo lakini kichwani kwake inaweza kuwa anawaza mambo mengi akiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Nafanje kutoona threads nilizokwisha zisoma hapa jf zisiwe zinajirudia kwenye feeds

    Salaam, Bila porojo, inatokea nyakati feed imejaa threads zote umeshazisoma au uliziruka kwa kutovutiwa nazo, mtu unascrow hata nusu saa hakuna nyuzi mpya ni zile zile, siamini kwamba eti nyuzi zote nimeshazisoma mpaka zijirudie hizo tu kuna muda mpaka naamua kuignore baadhi ya thread kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hili la msaada wa milioni 900 za DIPD kwa Chadema ni kashfa kubwa isiyofunikika

    Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za kisiasa.ni aibu kubwa sana. Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi...
  4. JamiiForums Tanzania Wataalim wa Wifi naombeni msaada wa kibiashara

    Salam wana Jf Nahitaji kufungua biashara ya wifi yaani nifunge wifi kisha niwe nawaunga jamii iliyonizunguka kwa 500 per 1hrs. Ila sijui nianze na kitu gani gharama zake? Jinsi ya kudhibiti data washusha movies, umbali kiasi gani ndio mzuri? Kifurushi unlimited haijalishi kitamiwe kiasi gani...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada tutani kuhusu video downloader

    Wakuu naombeni msaada wa video downloader ambayo isio ya kulipia maana nimejaribu kulipia snapany inakuwa inakataa ...ningefurahi zaidi kupata ya ku copy na ku paste link .... shukrani
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kazi: Nimesoma degree ya computer science,,nimefanya kazi shirika binafsi,chuo nilimaliza 2017

    Nina degree ya computer science.nimefanya kazi shirika binafsi ila kwa sasa sina kazi...Kwa yeyote anaeweza kunipa njia ya wap naweza ajiliwa au kuniajiri ntashukuru.
  7. JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Milioni 1.5, Biashara ya Chips Njombe inalipa?

    Habari za muda wana JF, Katika harakati zangu za maisha nimejikuta tu nadondokea Njombe. Nina wiki mpaka sasa. Maisha yamenichapa balaa. Mfukoni nina kama 1.5M, nikawa nawaza biashara ya viazi, kwa maana ya chips. Naomba wazoefu wa mkoa huu wanaoujua vizuri wanielekezee. Hii biashara inalipa...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kuelimishwa: Kwanini Namungo FC wanatumia gari la Serikali?

    Au ni team ya serikali?
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Kazi, nina elimu ya form four

    Habari humu ndani! Mimi ni mwanamke miaka 29, elimu yangu form four. Natokea dar es salaam(goba).Nilikuwa na uhitaji wa kazi hasa shuleni ninauzoefu nayo,hasa kulea watoto na usafi.Kama kuna mtu ana connection pleas naomba anisaidie.
  10. JamiiForums Tanzania Ni wazo ila ni msaada kwenu TRA

    Naanza kwa kuwaponda viongozi wanaosafiri kwenda nchi za nje na kisha kurudi wakiwa na mashudu kichwani. Ina maana gani ya kwenda nchi za watu mkarudi kichwa cheupe hata mjifunzi makosa au mbinu. Hii sio kwa TRA ni kwa idara zote mpaka serikali nzima. Mfumo wa TRA ulikuwa na njia rahisi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Ninahitaji damu kwa ajili ya mgonjwa, wapi naweza pata kwa kununua?

    Habari nina mgonjwa anaye tarajiwa kufanyiwa operation siku zijazo, ila ana changamoto nyingine ya kuishiwa damu mara kwa mara. je naweza pata wapi sehemu ninayo weza kununua damu, angalau chupa 10. I mean no malice to nobody Asanteni wakuu, nimesha pata ufafanuzi na msaada zaidi. Shukrani sana
  12. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa rangi za nyumba naomba msaada wenu kabla hapajakucha🙏

    Eti wakuu hiyo rangi hapo kwenye picha ni ya kupaka ndani au nje ya nyumba.? Eti ni kweli kwamba rangi ikiwa na neno EMULSION haifai kupaka nje ya nyumba? Kama rangi hii ni ya nje,je ni miongoni mwa rangi bora? Kama sio,naomba mapendekezo ya rangi bora za kupaka nje. Nyumba ilishapakwa...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa kuondoa maumivu ya meno na fizi

    Ninasumbuliwa na maumivu makali ya meno na fizi ila sina jino lolote lililotoboka wala kukatika maumivu hasa muda wa usiku nashindwa kulala ni makali mno maumivu yanaenda hadi kichani na kweye midomo ya juu na chini kama nimepakwa pilipili Je hili tatizo linatibika kwa dawa gani msaada wa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ombi la kuomba msaada wa huduma ya maji mtaani terrynite street, Segerea Magereza

    OMBI LA KUOMBA MSAADA WA HUDUMA YA MAJI MTAANI TERRYNITE STREET, SEGEREA MAGEREZA. Sisi wakazi wa Mtaa wa Terrynite Street, Segerea Magereza, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu upatikanaji wa maji. Tatizo: Kwa muda mrefu tumekuwa tukipata maji mara moja tu kwa wiki, siku ya Alhamisi...
  15. JamiiForums Tanzania Hello naomba msaada

    Na mtu ambaye yupo Dodoma jana katutext eti ameshikwa na polisi tumlipie dhamana tokea hapo hatuna taarifa yeyote naomba msaada kama kuna mtu ambaye anaweza kutusaidia tumpate . Maana hapatikani kwenye simu. Tunaomba msaada maana hii ni serious . Mimi napendaga matani ila naombeni msaada...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria. Nilivamiwa, nikajeruhi

    Nilivamiwa na watu wawili wakanikaba nikatumia kitu chenye ncha kali kumjerui mmoja, niliwahi polisi kutoa taarifa ya kuvamiwa, siku ya pili naambiwa kesi imegeuka upande wangu kwa sababu aliyenivamia ndiye aliyeumia sana, kesi sahivi ipo mahakamani, nafanyaje kutoka kwenye hii kesi.
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto wa Form V kuhamia Benjamin Mkapa High School

    Habarini wajuvi. Ninaomba msaada wa channel za binti yangu kuhamia Benjamin Mkapa High School kwa kidato cha 5. Binti amepangiwa Mpemba Sec huko Songwe. Natanguliza shukurani.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa mtu anayefanya kazi NIDA Arusha

    Habari za wakati huu ndugu zangu, kwanza nikiri tu kwamba JF imekuwa msaada sana kwangu pindi ninapokuwa na issues mbalimbali, response imekuwa kubwa. Kwa leo nilikuwa naomba mawasiliano au kama kuna mtu anayefanya kazi ofisi za NIDA Arusha (Especially ofisi za Kisongo) ili nimuombe anisaidie...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna utaratibu wa kufuata ukitaka kuanzisha App Tanzania?

    Habari. Kuna mtu anauliza taratibu za kuanzisha app kwa hapa tanzania hadi iweze kua downloaded playstore/App store. Je, ni taratibu zipi anahitaji kufuata? Je itahitaji kwenda Tra,Tcra,Brela nk? Au unaanzisha kwanza kisha ndio unaenda kufuata utaratibu wa kiserikali? Je kwa Tanzania ni...
  20. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata namba ya NIDA?

    Wakuu kwema, Umepita muda wa mwezi mmoja tangu nijiandikishe nida ili kupata kitambulisho cha Taifa, sijatumiwa sms na NIN na kawaida wanasema inachukua wiki 1 tu kutoa namba Mwenye kujua jinsi ya kuangalia kama namba imetoka au kujua maombi yapo hatua gani anielekeze. ASANTENI.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…