Msaada wa nyimbo za Tot ya Komba

Msaada wa nyimbo za Tot ya Komba

Pettymagambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
1,532
Reaction score
8,278
Ndugu wana jamvi wakati ule wa miaka ya 1996 mpaka 2000, enzi zile tunasikiliza nyimbo zikiwa kwenye kanda, pale nyumbani mzee alikuwa na kanda moja ya tot ya mh Komba na wenzie, japo nilikuwa mdogo sana ila nilikuwa nakichwa cha kukariri baadhi ya nyimbo kama vile, muongo mbea anaua, na mwingine waliimba shime shime jaman, shime shime kuombaa tukazane kuombaa, na baadhi ya nyimbo zingine nmezisahau kutoka katika album ile nimezikumbuka sana na ninazitafta kwa muda mrefu bila mafanikio, mwenye kuzijua plz naomba msaada.
 
Mi naupendaga ule unaimbwa 'Wacha waisome namba' sijuagi mwimbaji ni nani
 
Back
Top Bottom