KERO Malipo Interns BMH Yamekwama. Tunahitaji Msaada!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wanafunzi wa Interns KADA zote (MD's, Nurses, Radiographers, etc) Wa BENJAMIN MKAPA HOSPITAL šŸ„ hatulipwi pesa zetu za Kila mwezi kwa wakati. Kama wenzetu wa hospital nyingine nchini.

Maisha ya DODOMA magumu watukumbuke jamani na sisi ni watu sio wanyama tunashida wajali uwepo wetu pale
 
Poleni sana,
 
Unaishi wapi mkuu?
 
Wewe ni KE au ME? tuanzie hapo kwanza
 
hiyo taasisi huwa ina upuuzi mwingi sana....hasa hao incharge wengi ni wapuuzi sana..kujuana juana
 
Back
Top Bottom