Msaada wa kusafirisha vifurushi kutoka China

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2020
Posts
1,851
Reaction score
3,384
Ndugu zangu habari yenu, Ninahitaji msaada wa kampuni isiyo na longo longo ya kusafirisha parcels kutoka China, Lengo ni kununua bidhaa toka Pinduoduo.
Nahitaji inayo kubali kusafirisha parcel ndogo ndogo.
 
Hapa nitagusia haya, mizigo toka pindou tunainunua na kuisafirisha bila tabu kupitia hawa forwading agent walioko hapa nchini na wanafikisha mizigo kwa ufanisi na uharaka tu.
Mara nyingi mizigo isio na asili ya vilipukizi kwa ndege hutumia si zaidi ya siku 7toka siku mzigo utakapokua umepokelewa kwenye warehouse ya wasafirishaji huko uchina , yenye vilipukizi ni ndani ya wiki 2.
Kuna baadhi ya mizigo ni vyema kuisafirisha kwa njia ya meli kwani uzito wake unaweza kukufanya kulipa pesa mingi zaidi kwa ndege hivo meli ni njia sahihi.Utakapokua umejisajili hapo pindoudou na masoko mengime yote local hapo China kuna kipengele cha kujaza Anuani ya wasafirishaji ,hivo utatakiwa kujaza taarifa kwa usahihi ili kuhakikisha msafirishaji anapokea mzigo wako bila shida.
Ni vyema kutumia kampun zenye uzoefu mkubwa ili kupata huduma sahihi ,na hapo wako wengi utaangalia wewe yupi anafaa
 
Nashukuru kwa Mwongozo wako, hapo kwenye wengi ndio nimekwama, lengo ni kusafirisha hizi bidhaa ndogo ndogo uzito haufiki hata kilo, ni recommend kampuni ambayo wewe unatumia itakua msaada mkubwa kwangu.
 
Ndugu zangu habari yenu, Ninahitaji msaada wa kampuni isiyo na longo longo ya kusafirisha parcels kutoka China, Lengo ni kununua bidhaa toka Pinduoduo.
Nahitaji inayo kubali kusafirisha parcel ndogo ndogo.

0685350950 whatsapp or call
 
Back
Top Bottom