Msaada kwenye tuta, nimjibu nini huyu?

Msaada kwenye tuta, nimjibu nini huyu?

Da_Hustler

Member
Joined
Jun 24, 2025
Posts
23
Reaction score
35
Maishani mwangu sijawahi jivunia upuuzi!!

Some says a star sign ndio sababu, ila sijawahi kuwa hard to love nadhani I'm always all in na najikuta nakuwa a standard na bahati mbaya nusu ya watu wangu tuliowahi date were broken to begin with, wengi huwa hawaamini upendo I offered till I'm gone,
8 years ago I meet someone sitamtaja ni nan, ila currently she's married and having a kids, leo 03:07 am Asian marketing (I'm a trader by the way) a text message on Facebook pop up, lala ww!! Sikujibu ikaja a video call nikaignore!!
Ikashuka a text, "I miss you, kwann uliniharibu!?"

I freaked out like WTF, she was like I'm... I miss the version of love, you loved me nimekuwa mkimbizi na najiona mjinga nlitoroka kwenye aman nkahamia vitani, I miss movies kwenye projector na sufuria la popcorn nimekaa na ww kwenye zuria nakuona, kuamka weekend nimepikiwa breakfast saa hv nimekaa nasubiri mtu arudi hata cm hapokei na akirudi yuko njwi, 4.6yrs tuliodate hukuwahi kunikosa hata kibao nna makovu napigwa kila uchwao kwann uliniharibu...

Ukandanganya mapenzi kitu kizuri now daily nalia why!!

Mtu kama huyu namjibuje?
 
Muambie aache utoto.
Hata ungemuoa wewe kuna namna maisha yangechange tu.
Marriage life ina stages kama 6 hivi.

halalhearts.lk_20260816_232403_875.jpg
 
Maishani mwangu sijawahi jivunia upuuzi!!

Some says a star sign ndio sababu, ila sijawahi kuwa hard to love nadhani I'm always all in na najikuta nakuwa a standard na bahati mbaya nusu ya watu wangu tuliowahi date were broken to begin with, wengi huwa hawaamini upendo I offered till I'm gone,
8 years ago I meet someone sitamtaja ni nan, ila currently she's married and having a kids, leo 03:07 am Asian marketing (I'm a trader by the way) a text message on Facebook pop up, lala ww!! Sikujibu ikaja a video call nikaignore!!
Ikashuka a text, "I miss you, kwann uliniharibu!?"

I freaked out like WTF, she was like I'm... I miss the version of love, you loved me nimekuwa mkimbizi na najiona mjinga nlitoroka kwenye aman nkahamia vitani, I miss movies kwenye projector na sufuria la popcorn nimekaa na ww kwenye zuria nakuona, kuamka weekend nimepikiwa breakfast saa hv nimekaa nasubiri mtu arudi hata cm hapokei na akirudi yuko njwi, 4.6yrs tuliodate hukuwahi kunikosa hata kibao nna makovu napigwa kila uchwao kwann uliniharibu...

Ukandanganya mapenzi kitu kizuri now daily nalia why!!

Mtu kama huyu namjibuje?

Kwenye haya mambo ndo mnaandaa future za hovyo wajukuu zangu, deal na mambo ya maana, tafuta hata mbegu za miwa upande kuliko huu upumbavu, kumbafu
 
Maishani mwangu sijawahi jivunia upuuzi!!

Some says a star sign ndio sababu, ila sijawahi kuwa hard to love nadhani I'm always all in na najikuta nakuwa a standard na bahati mbaya nusu ya watu wangu tuliowahi date were broken to begin with, wengi huwa hawaamini upendo I offered till I'm gone,
8 years ago I meet someone sitamtaja ni nan, ila currently she's married and having a kids, leo 03:07 am Asian marketing (I'm a trader by the way) a text message on Facebook pop up, lala ww!! Sikujibu ikaja a video call nikaignore!!
Ikashuka a text, "I miss you, kwann uliniharibu!?"

I freaked out like WTF, she was like I'm... I miss the version of love, you loved me nimekuwa mkimbizi na najiona mjinga nlitoroka kwenye aman nkahamia vitani, I miss movies kwenye projector na sufuria la popcorn nimekaa na ww kwenye zuria nakuona, kuamka weekend nimepikiwa breakfast saa hv nimekaa nasubiri mtu arudi hata cm hapokei na akirudi yuko njwi, 4.6yrs tuliodate hukuwahi kunikosa hata kibao nna makovu napigwa kila uchwao kwann uliniharibu...

Ukandanganya mapenzi kitu kizuri now daily nalia why!!

Mtu kama huyu namjibuje?
Mpe KIMYA usimjibu
 
Kama trader lazima unajua kabisa sheria ya soko, never FOMO into a dead asset. Huyo dada alifanya bad investment miaka 8 iliyopita, sasa hivi anapata liquidation.

Usijibu lolote, piga kimya. Soko lilishamkataa, let her face the bear market ya maamuzi yake mwenyewe. Ukimjibu tu umeharibu.
 
Ahsante Master, ntaishi hapa
 
Maishani mwangu sijawahi jivunia upuuzi!!

Some says a star sign ndio sababu, ila sijawahi kuwa hard to love nadhani I'm always all in na najikuta nakuwa a standard na bahati mbaya nusu ya watu wangu tuliowahi date were broken to begin with, wengi huwa hawaamini upendo I offered till I'm gone,
8 years ago I meet someone sitamtaja ni nan, ila currently she's married and having a kids, leo 03:07 am Asian marketing (I'm a trader by the way) a text message on Facebook pop up, lala ww!! Sikujibu ikaja a video call nikaignore!!
Ikashuka a text, "I miss you, kwann uliniharibu!?"

I freaked out like WTF, she was like I'm... I miss the version of love, you loved me nimekuwa mkimbizi na najiona mjinga nlitoroka kwenye aman nkahamia vitani, I miss movies kwenye projector na sufuria la popcorn nimekaa na ww kwenye zuria nakuona, kuamka weekend nimepikiwa breakfast saa hv nimekaa nasubiri mtu arudi hata cm hapokei na akirudi yuko njwi, 4.6yrs tuliodate hukuwahi kunikosa hata kibao nna makovu napigwa kila uchwao kwann uliniharibu...

Ukandanganya mapenzi kitu kizuri now daily nalia why!!

Mtu kama huyu namjibuje?
Subiri kwanza mbona una haraka sana?. Wewe ni mwanamke au mwanaume?.
 
Ukiweza mpe pole tu, ama lah kausha.

Muda mwingine huwa ni waongo hao, asijekuingiza mkenge.
 
Back
Top Bottom