Baba mazoea
New Member
- Apr 18, 2016
- 3
- 10
NAOMBA MSAADA WA KUPATA KAZI/KIBARUA
Habari wana Jamiiforums.
Naomba kutumia nafasi hii kuomba msaada wa kupata kazi au kibarua chochote halali. Kwa sasa natafuta fursa ya kufanya kazi na niko tayari kufanya kazi kwa bidii kulingana na nafasi itakayopatikana.
Nina elimu ya Kidato cha Sita na nimewahi kufanya kazi za ujenzi, ikiwemo kusaidia mafundi. Pia niko tayari kufanya kazi nyingine halali kama ujenzi, kubeba mizigo, usafi, kusaidia fundi, kazi za kiwandani, store au kazi nyingine yoyote nitakayoweza.
Kwa sasa nipo Kihonda, Morogoro, hivyo nitapendelea zaidi kazi zinazopatikana Morogoro, lakini kama kuna fursa sehemu nyingine nitakuwa tayari kuzungumza.
Sihitaji kupewa pesa; ninachohitaji zaidi ni fursa ya kufanya kazi na kujitegemea.
Kama kuna mtu anajua sehemu yenye nafasi ya kazi/kibarua, au anaweza kunielekeza kwa mtu anayehitaji mfanyakazi, naomba anisaidie kwa taarifa.
Nitashukuru sana kwa msaada wowote wa taarifa au connection ya kazi.
Asanteni sana