msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) waridhia kuipa Tanzania msaada wa Bilioni 132 uliokuwa umezuiwa

    Umoja wa Ulaya (EU) umekubali kuruhusu kutoa Sh132 bilioni kwa ajili ya kuchangia bajeti ya maendeleo ulizokuwa umezizuia. Uamuzi huo ulitangazwa jana baada ya Rais John Magufuli kufanya mazungumzo na balozi wa EU nchini, Manfred Fanti Ikuku jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na...
  2. JamiiForums Tanzania Sekta ya Afya nchini kunufaika na msaada wa Dola za Marekani Milioni 600 (takriban Tsh. Trilioni 1.4) kutoka Global Fund

    Serikali ya Tanzania itanufaika na msaada wa dola za Marekani milioni 600 zitakazotolewa na Taasisi ya Global Fund mwezi Januari mwakani kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na maradhi ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria katika kipindi cha miaka mitatu. Ahadi hiyo imetolewa Jijini Dodoma na Mkuu wa...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria: Nimepandishwa cheo ila bado mshahara wa zamani

    Heshima kwenu wakuu. Naomba ushauri wa kisheria. Ninafanya kazi kampuni binafsi. hawa wanaoitwa wawekezaji. Mwaka 2018, miezi kama 18 iliyopita nilipandishwa cheo.Cha ajabu nimeendelea kulipwa mshahara uleule wa cheo cha zamani na kila nikimuambiwa muajiri wangu anachukulia poapoa. Vilevile...
  4. JamiiForums Tanzania Usikute fedha nyingi zinazoitwa za msaada ni zile zinazoenda kwa wanaharakati!

    Tunaweza kuwa tunapewa sifa ya kuwa nchi tegemezi ya uhisani kumbe kwa kiasi kikubwa fedha hizo za uhisani zinaenda kwa NGOs za wapigaji wachache zinazofanya kazi zisizo na tija ya maendeleo endelevu. Serikali ya Magufuli inataka mikopo itakayokuja kuinua maendeleo vijijini haswa. Nashauri...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa majibu ya hili swali

    Je, kutoka kuwa Msemaji wa Serikali na kuwa Katibu wa Wizara ni Kupanda Cheo au ni Kushushwa Cheo? Na naomba Majibu ambayo yatatolewa hapa na Wadau basi Mhariri wa Gazeti la Serikali la Habari Leo ayapitie kwa Umakini mkubwa sana tafadhali.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Marekani yaipongeza serikali ya Rais Magufuli, yatoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi kwa JWTZ

    Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi. Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi. Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa marekebisho ya taarifa za NIDA

    Wakubwa mdogo wangu alijiandikisha NIDA mwezi December mwaka jana leo ameenda kuangalia kama namba yake imerudi ila ameambiwa eti aanze process upya kwa kuwa jina lake lilikosewa kwahiyo namba haiwezi kurudi. Hivi ni kweli mtu ambaye jina lake limekosewa anatakiwa kuanza process upya au jamaa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop yangu nikiitumia kwa muda inazimika na haiwaki muda huo huo. Shida ni ninI?

    Msaada laptop yangu inazima zima nikitumia kwa muda na ikizima nikijaribu kuiwasha muda huo huo haiwaki mpaka nisubiri kwa muda ndio iwake tena. Kwa mjuzi wa haya mambo shida ni nini?
  9. JamiiForums Tanzania Ewe kijana mwenye dharau na majivuno na kudhalilisha wengine kwa vile una kadi ya CCM na uongozi wa kupewa jiangalie! CCM haina msaada wowote

    Hili ni angalizo ambalo nalipeleka moja kwa moja kwa vijana wachache ambao bado ni wanaCCM, maana vijana wengi wameachana na hicho chama, vijana wa CCM wa hapa JF na kwingineko nawaomba sana mtambue kwamba CCM haina nia wala uwezo wa kuwasaidia mnapopata matatizo , tena matatizo yenyewe ni yale...
  10. JamiiForums Tanzania Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

    Wadau hivi majuzi nilishikwa na kama kichomi fulani hapa juu ya tumbo yani katikati ya tumbo na kifua sikulala kabisa usiku wake. Sikuwahi kutokewa na hali hii hiyo ndiyo ilikua mara ya kwanza. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kwa sababu nilikua na safari ya muhimu sana. Nilijaribu...
  11. JamiiForums Tanzania Ethiopia yahitaji msaada wa chakula

    Ukame mkali wa mara kwa mara unaoikumba nchi ya Ethiopia umepelekea watu takribani milioni 7 kuhitaji msaada wa chakula. Baraza la uratibu wa majanga nchini Ethiopia limearifu kwamba watu milioni 7 katika nchi hiyo wanahitaji msaada utakaogharimu dola bilioni 1. Katika taarifa hiyo iliarifiwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Natokea Dar es Salaam kwenda Udzungwa naomba ushauri wa basi zuri la kupanda

    Habari nataka kutumia public transport kutoka DSM to udzungwa msaada mabasi yapi ndio uhakika. Luxury sanasana
  13. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu mayai ya kienyeji

    Habari zenu ndugu wafugaji naombeni mnisaidie jinsi ya kutambua mayai ya kuku wa kienyeji pure yanayofaa kutotoreshwa kwenye incubator maana nikiweka mayai 100 yameanguliwa 42 tu.
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa idea ya ICT new projects

    hello za wekend wakuu, Naomba msaada juu ya IDEA YOYOTE INAYOHUSIANA NA (WEB BASED SYSTEM) katika fani ya IT niifanyie kazi naelekea kukwama mwenzenu huku mana nilizonazo zote naambiwa hazina intelligency part ndan yake. kwenu wakuu
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada: Masharti ya pass za chini za kujiunga na kozi ya cheti ya Famasia

    Nina kijana wangu anataka kujiunga na kozi ya famasia ngazi ya cheti. Ana kemia - D, Bailojia - C na fizikia- F. Je anaweza kujiunga na kozi hiyo ngazi ya cheti? Kama likitupiwa karatasi toka wizara ya elimu kuhusu minimum qualification za kujiunga na kozi hiyo itapendeza sana. Natanguliza...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa business proposal

    Naomba msaada wa business proposal kwenye field hizi general supply/asset identification & codification/courier services. My email info@ecalimited.Com au hata mwenye link anaweza akadrop hapa.
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu kukodi shamba lenye mgogoro

    Salam, Naitwa Noel na nimekuwa mdau mkubwa sana kwwnye jukwaa hili la sheria na nimeona ushauri mzuri unaotolewa na wanasheria waliomo kwenye jukwaa. Niende kwenye mada husika hapo juu nilikodi shamba mwaka jana ili nione najikwamuaje na ukosefu huu wa ajira unaotusumbua vijana wengi...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua jinsi ya kutuma meseji toka kwenye email kwenda Kwenye namba ya simu ya kawaida

    Habari, Kama Kichwa cha habari kinavyosea, naomba msaada kwenye mambo yafuatayo; 1. Namna ya kutuma meseji kutoka kwenye email ikaingia/ikaenda kwenye namba ya simu ya kawaida. Mfano kutoka gmail halafu ikaenda kwa mtumiaji wa simu ya kawaida mfano wa tigo, vodacom halotel etc. 2. Nina...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu kweli hapa nina mke ?

    Huyu mwanamke nina miezi kama 10 toka nimuoe lakini ameonesha tabia ambayo imeanza kunitia sana mashaka Huyu mwanamke ana kajitabia ka kucheka cheka sana na kila mtu na kugawagawa sana namba yake ya simu Naombeni ushauri nimfanyeje huyu shemeji yenu aache hii tabia yake mbovu ambayo kiukweli...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Wahamiaji haramu wa Kitanzania kutoka Afrika Kusini walioletwa jana wako gereza gani?

    Wazee kwema? Kuna rafiki yangu alizamia South Africa kusaka maisha miaka iliyopita. Sasa nasikia kaingia mkononi mwa wenye mamlaka na juzi sijui jana karudishwa Tanzania kwa ndege. Kwa mwenye taarifa kamili kuhusu gereza au mahali walipohifadhiwa anijuze nikamuone na kumfanyia mchakato wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…