msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PC yangu haiwaki msaada

    Wakuu leo mchana nimeitumia fresh tu.. Nikaizima ila wakati nachomoa waya wa power ukagusa ile port ya vga kukatokea kama kishot kwa nje.. Sasa hivi nawasha haiwaki.. CHIEF MKWAWA na wengineo Msaada. PC ni dell core i2 Mrejesho... wakuu ile PC Jana tu nimeitoa kwa fundi 70000..nmelipa...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nichague simu ipi kati ya Tecno na Samsung katika duka la Tigo

    Wadau habari, Nataka kununua simu duka la tigo, sasa naomba ushauri kati ya tecno spark3 pro na samsung A10s maana zote naona sifa zinafanana. Nichukue ipi?
  3. JamiiForums Tanzania Nahisi baba anataka kugawa urithi bila kunishirikisha. Naombeni msaada

    Habarini za siku, mimi ni kijana wa miaka 38 nadhani uko nyuma nilileta uzi wangu mnishauri maana baba alinifukuza kwake nilipokuwa nakaa kisa tu nilimshawishi awe na kadi ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mimi ni mwananchama wake mtiifu aligoma na kunifukuza kwake. Nilichoshangaa baba baada ya...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta movie ya Rambo inaitwa "First Blood 1 ya mwaka 1982

    Kuna Movie nzuri ya kivita alicheza John Rambo inaitwa "First Blood 1 ya mwaka 1982. Movie hii inaanza Rambo akitembea akitokea mbali na kufika kijiji fulani na kuanza mazungumzo na Mama fulani aliyemwambia kuwa rafiki yake kipenzi alikufa kwa Cancer. Rambo anatoka hapo kunyongwa sana na...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka juu ya ubora wa tiles hizi, Twyford, Good One na Goodwill kabla sijaingia mkenge

    Jamani wanaJamiiForums, Jamani tusaidiane ipi ni tiles bora zaidi ya nyingine kutokana na brand hapo juu. Maana kuna mafundi wawili tofauti wote kwa maelezo yao waliniambia kampuni fulan katiya hizo tajwa hapo juu,tiles size zinapishana hivyo huwafanya waonekane wao mafundi wabovu. Jumamos hii...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, maji yamenifika shingoni

    ndugu zangu wanajamiiforums, poleni kwa majukumu mazito yanayotukabiri kila kukicha. maisha yamenipiga Mtanzania mwenzenu, hali yangu kiuchumi inazidi kuwa mbaya kila kukicha nipo kwenye ajira sekta binafsi, lakini naishi nikiwa nimeshaumaliza mshahala kabla sijaupokea. Naona kabisa kwenye hii...
  7. JamiiForums Tanzania Nina miaka zaidi ya 30 sina ninachomiliki, nahisi kukata tamaa. Msaada wenu

    Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu. Nahisi kukata tamaa kabisa na haya maisha. Mliokwisha pitia hali...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta mashine za kunyoa nywele

    Kulingana na janga la Corona. Nimeamua madogo niwe nawanyoa mwenyewe nyumbani. Naomba kujua nitapata wapi hizi mashine kwa hapa Dar es Salaam?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kiufundi: Gari kupoteza maji kila siku

    Gari yangu 1KZ inapoteza nusu lita ya maji kila siku, lakini haichemshi kamwe. Radiator ilishasafishwa hivi majuzi, mfuniko ushabadilshwa mara mbili, lakini bado inapoteza maji. Kwenye reserve tank yako hayaongezeki hayapungui, na hakuna dalili zozote za engine oil kwenye radiator wala reserve...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuimport tractors kutoka UK

    Habari Wakuu! Husika na kichwa cha habari hapo juu nahitaji msaada kwa mwenye uzoefu au details za jinsi ya kuimport tractor (s) kutoka UK kuja Tanzania.
  11. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa liduid seaweed concetrated fertilize

    Wakuu habari za maisha na mapambano ya maisha kwa ujumla? Poleni kwa Corona na uhaba wa sukari. Msaada kwa yeyote mtaalamu wa kilimo hasa cha green house na hiki kilimo cha kisasa cha hydroponic. Nina shida na liquid seaweed fertilizer concentrate, akitoa ushauri na matumizi yake na wapi...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kujua dawa ya NIMR inapatikana wapi?

    Wadau kwa sasa kuna dawa ambayo inapigiwa upatu kwamba inasaidia kuongeza kinga ya mwili dhidi ya corona. Ni mchanganyiko wa vyakula vya asili. Inaitwa NIMRCAF. Kama kuna yeyote anaifahamu utuambie inapatikana wapi. === ZAIDI KUHUSU DAWA HII SOMA HAPA = > NIMR yatengeneza dawa ya kupunguza...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada watalaamu wa Madini

    Habari wakuu haya Madini Aina gani?
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake, unatumiaje vocha hadi inaisha bila kumkumbuka aliyekutumia?

    Wanabodi habarini, ninahtaji msaada wa ushauri kwa experienced people whether wamefanya au ona kwa macho au wenye kuwa na uzoefu Kumekuwa na mazoea ambayo baadhi yetu yanasokota mioyo yetu hasa pale unamtumia mpenzi wako vocha pengine ya1000/5000-unamtumia kwa lengo la upendo, ukitaraji pengine...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa case law hii tafadhali

    Nimeitafuta kwenye TANZLII lakini some pages are missing. Kama kuna mwenye complete judgment tafadhali anitumie inbox. Nitashukuru sana. IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA AT MWANZA CORAM: JLJMA. C.J...
  16. JamiiForums Tanzania Zitto: Serikali imepika data ili kupata fedha kutoka IMF

    Kwenye website ya IMF Tanzania Jana imeupdate taarifa yake lakini inaonekana kama imepikwa kwa sababu hakuna serikali imefanya kwenye kuhakikisha uchumi hautetereki hasa kwenye SME. Angalia nakala ambatanishwa. TANZANIA Background. Tanzania has reported 480 positive cases, and 16 deaths of...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa kudownload series (all in one)

    Kama yupo ataeweza nisaidia kujua namna ya kudownload series all in one package nitafurahi sana, site nyingi ninazoingia series inanibidi nidownload episode 1 moja jambo ambalo linanichosha. Naomba mwenye kujua site ambayo naweza download mfano prison break zote ziwe kwenye singo torrent...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba msaada katika kujua utaratibu wa hizi ajira za utumishi wa mahakama, kipengele cha masharti ya uombaji

    Aidha, inasisitizwa kwamba: - 9.1 Waombaji wawe na umri kati ya miaka 18 na 44 9.2 Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa W ilaya anayoishi mwombaji. 9.3 Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wa sasa. 9.4 Waombaji walioacha kazi katika...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu nahitaji pycham pro

    Naomba msaada ambaye ana pycham Pro anisaidie nahitaji hata kama link cracked itakuwa poa tu
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini hatufuniki macho kujikinga na Corona wakati virusi vinaweza kuingia kupitia hapo

    Corona inaingilia machoni, puani na mdomoni. Tunafunika mdomo na pua kujikinga na corona. KWANINI HATUFUNIKI MACHO KUJIKINGA NA CORONA? Nawasilisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…