BrainOs
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 297
- 504
Husika na kichwa cha habari hapo juu hivi kutoa hela zilizoko kwenye acc ya airtm ni lazima majina uliyosajilia line zifanane na zilizoko kwenye acc ya airtm.. Mfano kwenye lain ya simu jina linasoma musa jumbe na majina kwenye acc ya airtm yanasoma abdala hamza.? Ni lazima zifanane.?