Msaada wa kusikiliza Maria spaces

Msaada wa kusikiliza Maria spaces

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
51,795
Reaction score
100,896
Kwa upande wangu limekuwa tatizo la kudumu. nikijoin inakatakata huwezi kupata flow kabisa ya kinachoongelewa.
Nifanyeje niweze kusikiliza bila kukatakata.
 
Serikali ya mazafakas ina kikosi maalumu cha kuihujumu. Kama hukusudii kuchangia, labda isikilize after the fact.
 
Kuchangia hapana. Basi nitakuwa nasikiliza baada ya kumaliza maana inakuwa recorded. Asante sana
 
Mimi siyo mboga mboga ila kati ya mwana harakati mwenye upeo siyo mkubwa huwa naona ni huyo.

Mtu smart hizo upande ni Mange
 
Kwa upande wangu limekuwa tatizo la kudumu. nikijoin inakatakata huwezi kupata flow kabisa ya kinachoongelewa.
Nifanyeje niweze kusikiliza bila kukatakata.
Dada miaka yote upo kule bado tu hujui kuingiziwa

Ussr
 
Back
Top Bottom