msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada: Nataka kuinstall APK lakini inaniandikia hivi?

    Shida ni nini wajuzi maana nimejaribu kudownload hiyo APK kupitia Opera Mini imeandika hivyo. Nikaona ngoja nijaribu kudownload kupitia Google bado pia imeniandikia hivyo
  2. Naomba msaada ndugu zangu

    Mwenye link (livestream) ya mpira atupie hapa
  3. Msaada: Kuhamisha nyimbo toka PC kwenda iPhone 7

    Nashindwa kufanya hivyo, sio kwa cable wala bluetooth. Any suggestion?
  4. Msaada maswala ya Mikopo Elimu ya Juu

    Mimi mwaka 2018 nilimaliza Kidato cha Sita na kuchaguliwa Mwenge University lakini sikuipenda kozi hivyo nilihairisha masomo na mkopo pia nilisitisha. Nliambiwa mwaka 2019 ningepewa mkopo kwa sababu niliuifadhi lakini haikua hivyo, nilipo riport loan board walinizngusha. Je, nikiapply tena...
  5. Msaada wa maswali ya written interview TRA nafasi ya ya Customs Officer

    Hello wana JF, Naomba msaada wa ideas za maswali ya written kwa nafasi ya Customs Officer kwa TRA. Kwa aliewahi kufanya je utumishi wanauliza nini, na je ni current issues gani za kupitia hasa hasa, na kama ni research ni upande upi zaidi wa kupitia? Asanteni
  6. Msaada: Wapi wanapatikana wa ku-translate nyaraka zilizoandikwa kwa lugha za Ukrainian au Russian?

    Msaada please, Wanaojua nisaidie wapi wanapatikana wa ku-translate document kwenye Ukrainian au Russian Language. Nataka kumsomesha mdogo wangu Ukraine. Naomba msaada wanapo translate ili document zipelekwe ubalozini Nairobi.
  7. Naomba msaada wa jinsi ya kudownload Coreldrawx3

    Habari wanaJF, Nimekuja kwenu kuomba msaada kwa yoyote mwenye kuweza kunifahamisha zaidi jinsi nitakavyoweza kudownload CORELDRAWX3 Au nyingine yeyote yenye kufanya kazi sawa na hii Asanteni
  8. G

    Msaada kati ya TV Hasence na TV Boss

    Tafadhali msaada kujua ubora wa TVs tajwa hapo juu ipi ina ubora mzuri. Ubora wa picha, uimara, bei, n.k nimeitoa LG na Samsung kulingana na bajeti yangu. Nataka kuchukua nchi 43. NB: Don't mind about uandishi plz
  9. G

    Bati za Waja General ni nzuri?

    Binafsi nimepaua kibanda changu kwa bati nyeupe, ila kuna jamaa yangu yeye anashinda ya macho na ana project yake ya ujenzi ngazi ya kupau na anatamani msouth. Tumekwenda halafu bei imemshinda wanauza 28,000/ 27,000 kwa pc za rangi. Yeye ana uwezo wa 24,000/- katika kuzunguka tukakutana na watu...
  10. Mada maalumu: Fani za afya kwa level ya diploma

    Kwa wale wahitimu wa kidato cha nne wanaotamani kujiunga na fani mbalimbali za afya hii inaweza ikawa msaada kwao Disclaimer:Nimezisort fani hizi kwa "utashi wangu" wa jinsi ninavyoona demand ya fani husika kwa taifa kwa sasa na sio official sorting kutoka mamlaka yoyote ile 1.Diagnostic...
  11. Msaada: Ushauri kuhusu hii mirathi

    Wakuu ipo hivi, kwetu tulizaliwa wawili tu mimi mkubwa na mdogo wangu wa kike, nipo naishi dodoma pamoja na familia yangu yaani naishi na mke wangu mama na mdogo wangu. Mzee wangu alifariki miaka 3 iliyopita hivyo aliacha baadhi ya mali km nyumba 3 na mashamba, nyumba mbili zipo dodoma hizi...
  12. Aliyewahi kufanya mchakato wa talaka msaada

    Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon. Aliyewahi pitia hili suala naomba ushauri
  13. Pata namba zako zote za simu za zamani na ulizopoteza kupitia Facebook

    Habari wa JamiiFirums, Leo nimejisikia ku-share njia hii rahisi yakupata namba zako zote za simu za zamani zilizopotea au zile ulizofuta kwa bahati mbaya. Hii ni kwa watumiaji wa facebook tu. Tafdhali tembelea kiunganishi hiki: https://m.facebook.com/mobile/facebook/contacts
  14. Msaada tafadhari kuhusu kutotumiwa namba ya usajili

    Habari wakuu msaada una hitajika. Tafadharini Kwa mwandiko mbaya. Niliomba kazi Kwa kutumia njia ya mtandao utumishi Secretariate ya Ajira nikabahatika kuona jina langu nimeitwa kwenye interview Ila katika akanti yangu sijatumiwa namba ya interview. Tatizo nini? Je, naweza pata namba...
  15. Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Jamani, girlfriend wangu anasumbuliwa sana na tatizo la maumivu kipindi cha bleeding, kwa wanaojua kama kuna tiba yoyote ambayo inaweza kumsaidia huyu binti, naombeni mawazo. Maana huwa anapata maumivu makali sana. Nawakilisha. Naombeni ushauri wenu wa kitabibu Asanteni WADAU WENGINE...
  16. Msaada mwenye software ya VLC Media

    Wandugu mwene software ya VLC Media anisaidie kama anayo hapa nimejaribu kudownload kwa simu kisha kuicopy kweny PC inakataa. Kama kuna mwenye nayo aiweke hapa tafadhali..
  17. Msaada wa Activation Key ya Microsoft 2016

    Habari zenu wakuu, Niko hapa kuomba msaada wa ACTIVATION KEY ya MICROSOFT OFFICE 2016 Hadi sasa Activation Keys nilizojaribu zinakataa kufanya kazi
  18. R

    Msaada jinsi ya kupata Chrome Cache File

    Habari wakuu, Naomba msaada kujua jinsi ninavyoweza kupata file lenye orodha ya cache zote za browser ya chrome tangu nilipoanza kutumia hii browser. Nimejaribu about//:cache lakini inaonekana function hii iliondolewa. Kuna njia nyingine au third-party software ya bure? Na pili je kama...
  19. Naomba Msaada wa kuelekezwa mambo haya kuhusu UDEMY

    Hodi wanajamvi, Naomba tujuzane huu mtandao wa UDEMY ambapo unaweza kusoma masomo mbalimbali kwa malipo kidogo. Kutokana na ushamba wangu kuna jamaa angu akaniambia kupitia mtandao huu unaweza kusoma chochote na cheti ukapewa. Basi nami nikaona isiwe shida nkazama ndani.. humo nikakutana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…