Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,455
- 29,134
Kwema Wakuu,
TV Yangu imezima tu Ghafla, na haiwaki kwa button yake wala kwa remote. Aina ni Samsung UA46EH5000 . Nimewaza sijui nipeleke kwa fundi gani maana mafundi wa mtaani nao hawaaminiki. Wanaweza kua sio wataalamu sana wakaishia kuongezea Ugonjwa. Labda kuna member humu anaemjua fundi mzuri wa hizi vitu?