Msaada: Sijajiandikisha kwenye daftari la kupiga kura, sina kitambulisho cha kupiga kura. Nifanyaje?

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habarini wana JamiiForums natumai wote mpo poa.

Mm sio mpenzi sana wa siasa na hata kupiga kura huwa siendi, sema mara zote nimekuwa nikikichukua kitambulisho cha mpiga kura kama ID card ya kufanya shughul nyingine kama usajili, umiliki na hekaheka zengine.

Sasa mwaka huu nimejikuta busy sana, hivo process ya kutengeneza vitambulisho imenipita

Nifanyaje ili nipate hiko kitambulisho cha mpiga kura.

Natanguliza shukran zangu za dhati.
 
Ww subir magufuli atangazwe tena then 2025 isijifanye kuwa busy tena
tapatalk_1601416900707.jpeg
tapatalk_1601418401629.jpeg
tapatalk_1601418168188.jpeg
tapatalk_1601417020407.jpeg
 
Habarini wana JamiiForums natumai wote mpo poa.

Mm sio mpenzi sana wa siasa na hata kupiga kura huwa siendi, sema mara zote nimekuwa nikikichukua kitambulisho cha mpiga kura kama ID card ya kufanya shughul nyingine kama usajili, umiliki na hekaheka zengine.

Sasa mwaka huu nimejikuta busy sana, hivo process ya kutengeneza vitambulisho imenipita

Nifanyaje ili nipate hiko kitambulisho cha mpiga kura.

Natanguliza shukran zangu za dhati.

Unataka kwa ajili ya kufanyia hizo shughuli zingine kama umiliki, usajili?
 
Hicho mbona hakina mwisho wa kujiandikisha? Nenda kawaone tu jamaa wa tume. Weka nia yako wazi tu kuwa ni kitambulisho kwa ajili ya usajili sajili, umiliki miliki nk.

Watakupa kingine. cha hivyo mbona ni wakati wowote mkuu?
 
Humu kuna nyuzi watu walikua wanahamasishana wasijiandikishe kisa uchaguzi wa serikali za mitaa CCM walikula kuku na vifaranga.
sasa hivi kwenye mikutano kunanyomi la povu la sabuni id za kura cheche.
 
Habarini wana JamiiForums natumai wote mpo poa.

Mm sio mpenzi sana wa siasa na hata kupiga kura huwa siendi, sema mara zote nimekuwa nikikichukua kitambulisho cha mpiga kura kama ID card ya kufanya shughul nyingine kama usajili, umiliki na hekaheka zengine.

Sasa mwaka huu nimejikuta busy sana, hivo process ya kutengeneza vitambulisho imenipita

Nifanyaje ili nipate hiko kitambulisho cha mpiga kura.

Natanguliza shukran zangu za dhati.
Kuna watu kama wewe wanajazana kusikiliza Sera Kura hawapigi halafu lawama zinakuja Kura zimeibiwa kumbe wengi walikuwa wasikilizaji na si wapiga kura, hata hivyo tumia ya uraia kwa mambo yako kama unayo
 
Hicho mbona hakina mwisho wa kujiandikisha? Nenda kawaone tu jamaa wa tume. Weka nia yako wazi tu kuwa ni kitambulisho kwa ajili ya usajili sajili, umiliki miliki nk.

Watakupa kingine. cha hivyo mbona ni wakati wowote mkuu?
Office zao ziko wapi apa mjini
 
Back
Top Bottom