Msaada kwenye biashara ya nyanya

jojo joe

New Member
Sep 28, 2020
1
20
Habari wana Jf,

Nilikuwa nahitaji kufanya biashara ya nyanya ninunue kwa wakulima mashambani alafu nije kuuza kwenye masoko Dar.

Nilikuwa naomba
1. Ushauri au muongozo kwa mwenye uzoefu na biashara hii inakuwaje na inafanywajwe
2. Connection za wakulima wa zao hili
3. Connection za masoko huku Dar hata sehemu nyingine zenye masoko ya uhakika
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom