Msaada katika hili wakubwa

Escotter20

JF-Expert Member
Jul 20, 2020
465
842
shakamooni wakubwa zangu, poleni na majukumu,

Mimi mdogo wenu kutokana na wenge la matokeo ya mtihani wa taifa f6 2020 nilipata kuomba moja ya chuo cha diploma hapa nchini, kwa bahati nzuri nimepata kuchaguliwa lakini matokeo yangu ya advance yananiruhusu kwenda chuo kikuu na tayari nimesha apply.. nauliza tu kwamba ni namna gan ya ku unconfirm kujiunga na diploma ili npate chaguliwa chuo kikuu au hakuna madhara yyte kuomba degree na diploma kwa wakat mmoja.

Ahsanteni
 
hakuna madhara wee ombaa degree tu coz diploma watafuta wenyewe usipoenda kureport

Hakuna madhara
 
Back
Top Bottom