Msaada nahisi ana mimba naombeni ufafanuzi katika hili

boga la kiangazi

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
472
1,000
Salaam sana wakuu,

Kama wiki mbili zilizopita nilienda kumpima wife ujauzito ambapo majibu yalikua ni U.P.T negative na akachomwa sindano ya kuzuia mimba ila sasa napata mashaka. Ishu ni kwamba haoni siku zake na kwa kawaida ilitakiwa awe ameziona . Pili amekua akiniagiza vitu hususan soda na lollipop wakati sio kawaida yake. Nmekua napata mawazo huenda kipimo kilikosea majibu au ndo side effects za hio sindano coz sina uzoefu na mambo hizo.

Msaada tafadhali.

Wasalaam
 

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
13,536
2,000
Je ulifanya nae ngono kwenyw Siku zake za hatari kabla ya Kuchoma sindano za Uzazi wa mpango???? Jaribu tena kupima kwa kutumia UPT ikisoma Negative bhasi automaticall ni side effect ya hizo Hormone alizochomwa... Mambo ya mood swing...dryness yategemee sanaa
 

Abu-Irfan

Member
Aug 9, 2016
54
125
Ni kawaida kukosa hedhu kwa mwanamke anaetumia sindano za uzazi wa mpango. Na ikitokea anapata basi mara nyingi huwa hazina mpangilio kama ilivyo kawaida yake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom