Msaada wakuu laptop yangu (DELL) imegomea hapo toka juzi

Acehood

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
612
1,000
IMG_20210712_080228_5.jpg
IMG_20210712_080238_6.jpg
IMG_20210712_080248_7.jpg
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,727
2,000
Ukiclick restart inaanza tena kurepair? Kama ndiyo kuna shida ya windows but sometime huwa inasababishwa na Hard Drive kuanza kupoteza uwezo. Hivo ushauri wa kwanza click restart ikiwaka hivohivo piga windows ukiona inachelewa sana kufanya maamuzi wakati unapiga windows ujue Hard Disk yako inaenda mwisho hivo itakupasa ubadilishe Hard Disk yako.
 
Asante sana mkuu. Nimejaribu ku restart lakini inashindikana. Labda nijaribu kupiga windows
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,226
2,000
Asante sana mkuu. Nimejaribu ku restart lakini inashindikana. Labda nijaribu kupiga windows
Ukipiga windows itasolve ila ushauri hangaika nayo kwanza kuna mambo mengi hujajaribu.

1. Jaribu ku boot na safe mode
2. Jaribu system restore
3.jaribu kuingia bios weka uefi na legacy kwenye boot options.

Pia windows piga bila kuiformat incase unataka data zako zibaki.
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,727
2,000
Asante sana mkuu. Nimejaribu ku restart lakini inashindikana. Labda nijaribu kupiga windows
Zingatia pia ushauri wa coment ya 3 japo kama ingekuwa ipo kwenye UEFI na sasa hipo kwenge Legacy basi windows isiongenekana zaidi ingekuambia No bootable device but binafsi ninaamini Hard Disk itakuwa imeanza shida.
 
Acehood

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
612
1,000
Ukipiga windows itasolve ila ushauri hangaika nayo kwanza kuna mambo mengi hujajaribu.

1. Jaribu ku boot na safe mode
2. Jaribu system restore
3.jaribu kuingia bios weka uefi na legacy kwenye boot options.

Pia windows piga bila kuiformat incase unataka data zako zibaki.
Nimejaribu lakini imeshindikana .. labda nijaribu kupiga windows tu
 
Acehood

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
612
1,000
Zingatia pia ushauri wa coment ya 3 japo kama ingekuwa ipo kwenye UEFI na sasa hipo kwenge Legacy basi windows isiongenekana zaidi ingekuambia No bootable device but binafsi ninaamini Hard Disk itakuwa imeanza shida.
Nimejaribu lakini imeshindikana. Hakuna njia ya kutengeneza hard disk just for temporary?
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,727
2,000
Nimejaribu lakini imeshindikana. Hakuna njia ya kutengeneza hard disk just for temporary?
Hizo huwa zina life time (Health) ukiona hivyo ujue inaenda ukingoni kwa hapo unaweza kuitumia kama external mkuu lakini nunua tu hdd nyingine kwa Tsh ngapi?

160 Gb - 20,000/=
250Gb- 25,000/=
320 Gb- 30,000/=
500 Gb- 60,000/=
1000 Gb- 100,000/=-90,000/=
 
Mzimu wa Kolelo

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
1,485

We bwana unachoongea hakihusiani na hapo hilo tatizo
Hilo tatizo la stop error
linaweza sababishwa na Driver baada window kujiupdate au kuinstall software ambayo ili change file muhimu ya window au ilipigwa rungu na window deffender n
Au suddenly PC ikastuck akalazimisha kuzima kwa kuhold power burton nk

Kama hearth ingeshuka kufikia 5% au remaining day 0 day
Basi Ingekuwa SMART HDD na angepewa warning tangu anatumia

Hvyo basi usimuongopee mwenzio

Hapo kama itashindikana AUTOMATICK REPEAL
Afanye restored
Ikishindikana afanye full RESETE mashine inapona bira kuwek window upya
 
kelphin kepph

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
4,152

Vyuma vinaumana!!!!
Wengine tunapata somo
 
Acehood

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
612
1,000
Hizo huwa zina life time (Health) ukiona hivyo ujue inaenda ukingoni kwa hapo unaweza kuitumia kama external mkuu lakini nunua tu hdd nyingine kwa Tsh ngapi?

160 Gb - 20,000/=
250Gb- 25,000/=
320 Gb- 30,000/=
500 Gb- 60,000/=
1000 Gb- 100,000/=-90,000/=
Asante Sana mkuu
 
Acehood

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
612
1,000
We bwana unachoongea hakihusiani na hapo hilo tatizo
Hilo tatizo la stop error
linaweza sababishwa na Driver baada window kujiupdate au kuinstall software ambayo ili change file muhimu ya window au ilipigwa rungu na window deffender n
Au suddenly PC ikastuck akalazimisha kuzima kwa kuhold power burton nk

Kama hearth ingeshuka kufikia 5% au remaining day 0 day
Basi Ingekuwa SMART HDD na angepewa warning tangu anatumia

Hvyo basi usimuongopee mwenzio

Hapo kama itashindikana AUTOMATICK REPEAL
Afanye restored
Ikishindikana afanye full RESETE mashine inapona bira kuwek window upya
Asante sana mkuu.. full reset niifanye Kama option ya mwisho si ndiyo? Huwa inaclear kila kitu?
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,727
2,000
We bwana unachoongea hakihusiani na hapo hilo tatizo
Hilo tatizo la stop error
linaweza sababishwa na Driver baada window kujiupdate au kuinstall software ambayo ili change file muhimu ya window au ilipigwa rungu na window deffender n
Au suddenly PC ikastuck akalazimisha kuzima kwa kuhold power burton nk

Kama hearth ingeshuka kufikia 5% au remaining day 0 day
Basi Ingekuwa SMART HDD na angepewa warning tangu anatumia

Hvyo basi usimuongopee mwenzio

Hapo kama itashindikana AUTOMATICK REPEAL
Afanye restored
Ikishindikana afanye full RESETE mashine inapona bira kuwek window upya
Hivi kufanya full reseting ya windows kuna tofauti gani na kuweka windows nyingine? Kama amesema umejaribu kashindwa ata kuweka windows ukitaka nimshauri afanye nini? Alafu message ya error ya HDD sio kila pc inaweza toa automatic may be HP inaweza toa hiyo error pale unapowasha ila hiyo dell.
 
Mzimu wa Kolelo

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
1,485
2,000
Hivi kufanya full reseting ya windows kuna tofauti gani na kuweka windows nyingine? Kama amesema umejaribu kashindwa ata kuweka windows ukitaka nimshauri afanye nini? Alafu message ya error ya HDD sio kila pc inaweza toa automatic may be HP inaweza toa hiyo error pale unapowasha ila hiyo dell.

Bado unaendelea kubisha kitu usichofahamu
Ni vema ukajifunza kwa wengne kuliko kubisha usichokijua
Kwa comment yako inadhiirisha bado unajifunza
Hvyo endelea kujifunza zaidi kupitia hapa JF

Kwa hiyo hii warning message huwa inatokea kwa HP tu dell na zingine haitokei
kabisa
images%20(25).jpg
images%20(26).jpg
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,727
2,000
Bado unaendelea kubisha kitu usichofahamu
Ni vema ukajifunza kwa wengne kuliko kubisha usichokijua
Kwa comment yako inadhiirisha bado unajifunza
Hvyo endelea kujifunza zaidi kupitia hapa JF

Kwa hiyo hii warning message huwa inatokea kwa HP tu dell na zingine haitokei
kabisa View attachment 1851464 View attachment 1851465
Sawa Engineer lakini hiyo msg ulioattach sio sio lazima itokee automatic kwenye pc na nimekuambia hakuna tofauti ya kureset windows na kuinstal windows upya iwe anataka data zibaki au aclear evely thinks.
 
kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
1,438
2,000
Sawa Engineer lakini hiyo msg ulioattach sio sio lazima itokee automatic kwenye pc na nimekuambia hakuna tofauti ya kureset windows na kuinstal windows upya iwe anataka data zibaki au aclear evely thinks.
mkubwa kuna HP yangu ya nyumba jana nimezima vizuri lakini leo haitaki kuwaka nimefungua lakini haitaki bado kuwak
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom