Wakuu habari,
Naomba masaada mwenye kujua tiba mbadala au ya kisasa ya masikio kulia kama kengele au miluzi.
Janga hili linanitesa sana nashindwa kusikia vizuri.
Salamu wakuu
Naomba msaada wa kufahamishwa namna ya kurekebisha jina kwenye kitambulisho changu kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii.
Yaani ni kwamba jina langu la kwenye NIDA lile la katikati ni tofauti na lililopo kwenye mfumo wa nssf.
Hayo majina yametofautiana lakini yote ni majina ya baba...
Jamani habarini wapendwa ni hivi juzi Kati hapo nilinunua multimeter aina ya siltron DT 9205A Sasa ninapashida wakati wakupima kiasi cha umeme kutokana na kwamba inaleta short pindi nianzapo kupima nimejaribu kwanza kwenye port ya 20A kwakuwa nimehisi kuwa umeme wa nyumbani huwa unarange 200mA...
Habari Wana jf,
Dogo hapa amepata matokeo ya PCM(C,C,D) respectively na anadivision 1.16 lakini aliomba chuo hawakumpa KIPINDI Cha selection Sasa tumejalibu kuapply.
Je, kwa ufaulu huu katka vyuo vya ufundi(Tech) wanaweza mchukua kwa (Mechanical or Electrical engeering) maana nasikia sasahv...
Ninamdogo Wangu Amemaliza Form six Amesoma CBG lakini Matokeo yake ni kama ifuatavyo
Chem:E
Bios:E
Geog D
Bam:E
Gs:E
Amekosa sifa zakwenda chuo kikuu so inabidi akasome diploma na Muhusika Anapenda kusoma course ya Clinical Medicine so Binafsi sinauelewa juu ya vyuo vya sayansi Naombeni...
Habarini! Hapa naomba msaada nahitaji kusomea software engineering hapo DIT.
Maswali yangu:
1.Je inaitaji kombi gani kwamimi sijasoma chemistry nina physical tu?
2.ufaulu kiasi gani?
3.Je ada yake ikoje kwa mwaka?
4.ninaweza anza na diploma moja kwa moja au mpk certificate.
NAWAKILISHA.
Habari wakuu,
Ngoja nisipoteze muda nahitaji msaada wa pendekezo la course ya kusoma chuo kati ya hizi zifuatazo:
1. BSc. Land management and valuation-Ardhi University
2. BA. Economics-Aru or Udsm
3. BSc. Accounting and Finance
4. Road and railway in logistics(Shipping operational road and...
Habarini wakuu, nauliza bei ya mabati ya msouth kwa bei ya kiwandani.
Kama bei itaambatana na grade number itapendeza zaidi. Pia kwa anayefahamu yanakopatikana kwa hapa Mwanza (nasikia kuna kiwanda cha mabati japo sina uhakika).
Natanguliza shukrani
Hii meseji imekuwa ina pop up kwenye iphone yangu mara kwa mara. Hata sasa hivi nilipokuwa ninaandika hii thread ime pop up tena.
Msaada:
-Madhara yake yapi ikiwa “Trusted” au “Not Trusted”?
-Faida yake yapi ikiwa “Trusted” au “Not Trusted”?
- Jinsi gani ninaweza kutatua ili tatizo?
It is very...
Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili...
Wakuu Habari ya nyie, nahitaji kuagiza simu aliexpress ila sio mzoefu sana, make nilipoagiza mara ya kwanza kwa ajili ya kupata uzoefu ndo nilibaki njia panda, niliagiza kitu cha dollar 1.5 tar 01/06 mpaka leo tar 20/07 inasoma departed country of origin shipping method cannaiao economy global...
Nimesikia aibu sa na kuona mzee wangu Filbert Bayi akilalamika TFF kwa kuidai pesa za mamilioni kwa kuihifadhi timu ya Taifa.
Nawapa onyo wafanyabiashara mnaodanganywa kusaidia timu za taifa mtalipwa mtalia.
F.Bayi ameiletea history Tanzania katika kujikimu akaweka vitega uchumi vyake...
Imejilock. Na password yake ni 2000. Siwezi kufanya chochote napokea simu tu. Ikitaka passwaord nikiweka inaniambia nijaribu baada ya sec 30. Kila nikijaribu inarudia tena hivyo hivyo. Kama kuna maujanja mnisaidie tafadhali.
Chief-Mkwawa
reyzzap
Hbari waja-Jamii Forum,
Nakuja kwenu kuomba msaada wa uzoefu kwa wale ambao tayari wamepita huko, kupata VISA ya US hususani kwa mtu anae kwenda kusoma nje (USA), Nachotaka kufahamu ni challenge kubwa huwa ni eneo gani na namna ya kukabiliana nayo. Kwangu nina issue mbili ambazo hasa nahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.