Msaada mafundi naflash infinix hot 9 play x680 inagoma

Mkushi Mbishi

JF-Expert Member
Sep 30, 2018
318
513
Wakuu habari zenu,

Nimeletewa INFINIX hot 9 play x680 tatizo Ni frp

Nimejaribu kuflash kwa Sp flash tool ujumbe unaokuja ni huu kwenye picha hivyo naomba MSAADA wenu tutagawana hii pesa ya bando.

IMG_20210707_213917_678.jpg

IMG_20210707_213839_997.jpg

IMG_20210707_213815_832.jpg

IMG_20210707_212452.jpg
 
Download agent
Scatter file

Zote niliziweka ziko sahihi imekataa

Nikacharge simu vya kutosha,nikabadilisha usb na port pia imegoma
 
Unahitaji custom DA file. Nenda Hovatek forum. DA files zote zipo. Kwenye kuload DA file nenda kwanza kwenye settings za SP flashtool na utoe option ya "Check LIB DA Match"
 
Unahitaji custom DA file. Nenda Hovatek forum. DA files zote zipo. Kwenye kuload DA file nenda kwanza kwenye settings za SP flashtool na utoe option ya "Check LIB DA Match"
Mkuu Kama hutojali ushirikiano nami kulifanya hili mteja katoa 15,000 mm utaniachia 5000 nipate bando..Ni inbox WhatsApp namba yako nitakapokwama uwe unanipa maelekezo
 
Mkuu Kama hutojali ushirikiano nami kulifanya hili mteja katoa 15,000 mm utaniachia 5000 nipate bando..Ni inbox WhatsApp namba yako nitakapokwama uwe unanipa maelekezo
Kwani unataka kutoa FRP au kuflash simu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom