msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nasikia Nacte, UDOM matokeo ya admissions yametoka

    Naingia NACTE naona kama hakuna link ya log in , vile vile UDOM hakuna response kwenye akaunti ya kijana. Nifanyeje,
  2. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

    Habari wana Jamiiforum, Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development. Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia...
  3. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, kila nikipanga mipango haitimii

    Habari za muda ndugu zangu. Hope weekend yenu imekaa njema Wacha nisipoteze muda niingie kwenye mada. Mimi ni kijana ambae nimekuwa nikihangaika sana kwenye mambo yangu lakini huwa sifanikiwi inshort huwa nina mipango mizuri mno lakini haijawahi kufanikiwa, unaweza kuongea na mtu akakuahidi...
  4. mwilawi

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA TABLET

    Naomba mwenye android tablet ambayo angalau ina sifa hizi aniuzie; 1. storage angalau 16 gb 2.ram angalau 3 au2 gb 3. processor atleast 2GHz 4. mtandao hata iwe na wifi tu 5. isiwe ya tecno 6.iwe used ila nzima 7. iwe ya inchi 7 au 8 Pia anomba ushauri zaaidi. Niko dom
  5. Wong Fei

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kuweka full width CSS, Related posts display na Post Navigation display kwenye blogger

    Thread closed
  6. mrangi

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata fiber sheet

    Wapi naweza kupata fiber sheet Mwenye kufahamu anipe ramani Na bei zinauzwaje Ova Fundi rangi
  7. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania MSAADA : Jinsi ya Kuingiza Piano Kwenye Beat kwa Kutumia Fruit Loops (FL Studio)

    Heshima kwenu wakuu. Well, naomba msaada kwenu wakuu. Kwa mfano nina beat, halafu niko na program ya FL Studio, sasa nahitaji kupiga au kuongeza some instruments kwenye hiyo beat kwa Kutumia FL Studio nafanyaje wakuu? Naombeni muongozo wadau. Natanguliza shukran kwenu wakuu. Thanks a lot.
  8. tonnylee

    JamiiForums Tanzania Msaada wa muundo wa barua ya kuhama kituo Cha kazi

    Wakubwa heshima kwenu, naomba kusaidiwa muundo wa barua ya uhamisho. Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nataka nahama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine Binafsi sifahamu njia za kupitia ili nifanikiwe kwa haraka. Natanguliza shukrani za dhati kabisa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msaada, awamu za ujenzi

    Nawasalimu wanajamvi, Mfano ujenzi nyumba imefika kiwango cha hii picha, Hapo tayari ina bomba za kuja kupitishia wiring ya umeme, mfumo wa bomba za maji safi na maji taka pamoja na shimo la maji taka vipo tayari na tuchukulie pesa ya kumalizia ipo ya awamu awamu. Naomba kufahamishwa kama kuna...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Hiki ni kiumbe gani? (Kama samaki mtu mdogo) nimekuta home

    Salamu za asubuhi, hiki kiumbe nimekuta kimefukiwa nyumbani kwangu sehemu ya kuingilia kibarazani bado sijaelewa ni kiumbe gani. Msaada kwa ambae amewahi kukutana na kitu Kama hiki. Ukiangalia kwa umakini utaona mkia Kama wa samaki, kichwa Kama binadamu na mikono kabisa.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa na mahusiano na binti asiye na maambukizi ya VVU, anataka tukutane kimwili

    Mimi ni kijana/mwanaume ninayeishi na VVU kwa muda mrefu sasa hivi nimekua nina mahusiano na binti asiye na maambukizi na kwa sasa kwa hakika ninashuhudia mapenzi ya dhati katika historia ya maisha yangu. Changamoto; kwa muda amekuwa akitaka mimi na yeye tukutane kimwili nikawa namtolea nje...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kilimo cha soya au mbaazi

    Jamani mimi ni mkulima mdogo mkoani iringa nalima mahindi, lakini kutoka na hali halisi ya soko na pembejeo kuwa juu nadhani mwakani sitoweza kulima, nataka kulima soya au mbaazi, sasa sijui kitaalamu km hilo zao linastawi na wakati gani wa kulima, kama kuna mwenye taarifa nzuri basi tupeane...
  13. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania NAOMBA MSAADA WADAU.

    Wakuu habar za weekend.Naomba kujua ni aina gani ya APP itanisaidia kucheza games.Maana nikidowload Game haionekan hata kwenye sim ila inaonekana nmeinstall tu ila sioni ilipo. Pia naomba kujua APP gani nzuri kwa kudowload nyimbo ambazo zimezuiliwa kupakuliwa. La mwisho naomba kujua APP gani...
  14. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu wi-fi

    Habari za majukumu wadau. Ndgu yenu simu yangu hii napata mkanganyiko kutumia wi-fi. Naomba mnijuze nifanye utundu gani niwe najiunga aisee, sometimes hata mtu akiniwashia hotspot basi mpaka kuunganisha hapo ni kisanga kinoma. Mpaka sijui uscan QR code, sasa ni freewife ya mahali fulani labda...
  15. mgendege

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kusave bidhaa kwenye Excel Sheet

    Yaani namna kuweka bidhaa mfano umeingiza chupa za maji 20 zikitoka chupa mbili iwe ina onyesha automatiki bei ya mebaki mangapi jumla ya pesa ya kuuzia na kujumlishia atakama mtu akiwa ana kuuzia yuko mbali mauzo una ya ona kwenye computer yako na wewe bila ya kumpigia kuwa ume uza nini na nini
  16. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Ndugu zangu kwema? Habari za muda huu na poleni na majukumu. Simu yangu ni Infinix hot 6 tu. Naombeni mwenye kujua App nzuri ya kutazama mpira wa miguu online(Streaming) App nzuri isiyo na mauzauza. Je GB 1 Inatosha kumaliza Dk 90? Kwa anaefahamu msaada tafadhali. #forgive Me
  17. clinton gidioni

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Usafiri wa Kutoka Dar kwenda Dodoma

    Habarini wapendwa poleni na majum. nimekwama gharama za usafiri kutoka Dar kwenda Dodoma naombeni msaada. Mimi ni operator wa heavy machine. Dodoma kuna ujenzi wa barabara ya njia nne ambapo test ilikuwa ni leo na kesho pia. OMBI LANGU KAMA KUNA MWENYE USAFIRI UNAO WEZA KUFIKA DODOMA NAOMBA...
  18. Planet FSD

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo kwenye kadi ya gari

    Wakuu habari za muda huu? Miezi kama 6 iliyopita, nilinunua benz kwa mtu. Gari ni Mercedes E280. Nilikagua chassis number vizuri na kujiridhisha umiliki wake. Nimekaa nayo vizuri bila tatizo. Siku chache zilizopita nikashauriwa niibadilishe umiliki. Katika kuiangalia vizuri kadi ya gari...
  19. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu waharaka wakuu hawa aliexpress siwaelewi kabisa, sijui ndo napigwa hivo.

    Iko hivi wadau niliweka oda alie wiki ilopita ni oda ya simu ya simu toka kwa seller MI POCO, akaship mzigo kesho yake ila cha ajabu jana tar 11 na angalia nakuta mzigo umearrive destination country country , nkajiuliza mbona fasta hivo, nkaingia parcelapp tracking nkakuta mzigo umeika origin...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anawashwa kila tukitumia Condom

    Mke wngu amawashwa sana kila nikitumia kondom kushiriki tendo, Nikienda kavu anakua sawa But nikitumia tu komdom baada ya kumaliza tendo anawashwa sana sehem za uke mpk kujikuna sana hii inaweza kua tatizo nn wapendwa? Maana kufanya bila kondom inaweza kupelekea kupata mimba za kukalibiana...
Back
Top Bottom