Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

PHR

Member
Sep 22, 2020
27
75
Habari wana Jamiiforum,

Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development.

Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia kwa shuhuli zangu imeharibika haifanyi kazi, kwa hiyo nashindwa kufanya kazi za Web Development.

Nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ili angalau nipate fedha kwa ajili ya kununua PC mpya kwa ajili ya kazi zangu. Naweza kufanya kazi za ofisini za kutumia computer kama zipo, pia naweza kusimamia biashara kama duka.

Pia naweza kufundisha masomo kama mathematics na physics, kama una mwanao wa secondary au shule ya msingi naweza kumfundisha. Naomba msaada wa kazi ndugu zangu, nitafanya kwa bidii na Mungu awabariki sana.
 
Jazajuan

Member
Dec 9, 2017
90
250
Mkuu hela yenyewe nilikuwa napata ya kula tu, na ndio kwanza nilikuwa naanza shuhuli zangu sijafika mbali chombo kimeharibika, naomba msaada wako ndugu yangu
Achana nae... katika maisha epuka kujishusha kwa mtu asiyeonyesha kujali... ngoja nikusaidie ushauri kidogo... andika barua ya kuvolunteer katika Halmashauri kama Tano hivi ...Halmashauri nyingi zina changamoto katika kitengo cha Habari na mawasiliano... pia system nyingi serikalini zipo slow na zinacorrupt mara kwa mara... kutokana na mifumo mibovu ya kizaman... Nendo Mahospital ya serikalini pia... Mbali na hapo watumishi wengi watakupa Tenda za Pc zao na mabadiliko utaanza kuyaona taratibu... pia utatengeneza network nzuri ambayo itakusaidia hata katika upataji ajira ... niliwahi kumshauri dogo mmoja alikuwa na diploma ya IT saiv ni mtumishi wa municipal... mtangulize mungu mbele na usikubali kukatishwa tamaa!
 
Mnyatiaji

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
2,986
2,000

Ushauri bomba kabisa
 
Asante sana ndugu yangu, nitafanyia kazi ushauri wako na Mungu akubariki
 
PHR

Member
Sep 22, 2020
27
75
Habari wana Jamiiforum,

Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development.

Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia kwa shuhuli zangu imeharibika haifanyi kazi, kwa hiyo nashindwa kufanya kazi za Web Development.

Nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ili angalau nipate fedha kwa ajili ya kununua PC mpya kwa ajili ya kazi zangu. Naweza kufanya kazi za ofisini za kutumia computer kama zipo, pia naweza kusimamia biashara kama duka.

Pia naweza kufundisha masomo kama mathematics na physics, kama una mwanao wa secondary au shule ya msingi naweza kumfundisha. Naomba msaada wa kazi ndugu zangu, nitafanya kwa bidii na Mungu awabariki sana.
Naombeni msaada wenu ndugu zangu na Mungu awabariki
 
Lumoge

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
610
1,000
Achana nae... katika maisha epuka kujishusha kwa mtu asiyeonyesha kujali... ngoja nikusaidie ushauri kidogo... andika barua ya kuvolunteer katika Halmashauri kama Tano hivi ...Halmashauri nyingi zina changamoto katika kitengo cha Habari na mawasiliano... pia system nyingi serikalini zipo slow na zinacorrupt mara kwa mara... kutokana na mifumo mibovu ya kizaman... Nendo Mahospital ya serikalini pia... Mbali na hapo watumishi wengi watakupa Tenda za Pc zao na mabadiliko utaanza kuyaona taratibu... pia utatengeneza network nzuri ambayo itakusaidia hata katika upataji ajira ... niliwahi kumshauri dogo mmoja alikuwa na diploma ya IT saiv ni mtumishi wa municipal... mtangulize mungu mbele na usikubali kukatishwa tamaa!
God bless man watu wachache sana wana moyo huu unaounyesha.
 
6Was9

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
1,285
2,000
Achana nae... katika maisha epuka kujishusha kwa mtu asiyeonyesha kujali... ngoja nikusaidie ushauri kidogo... andika barua ya kuvolunteer katika Halmashauri kama Tano hivi ...Halmashauri nyingi zina changamoto katika kitengo cha Habari na mawasiliano... pia system nyingi serikalini zipo slow na zinacorrupt mara kwa mara... kutokana na mifumo mibovu ya kizaman... Nendo Mahospital ya serikalini pia... Mbali na hapo watumishi wengi watakupa Tenda za Pc zao na mabadiliko utaanza kuyaona taratibu... pia utatengeneza network nzuri ambayo itakusaidia hata katika upataji ajira ... niliwahi kumshauri dogo mmoja alikuwa na diploma ya IT saiv ni mtumishi wa municipal... mtangulize mungu mbele na usikubali kukatishwa tamaa!
Mkuu katika halmashauri hakuna watu walioajiriwa tayati katika kitengo cha Tehama/IT?
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
172,705
2,000
Habari wana Jamiiforum,

Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development.

Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia kwa shuhuli zangu imeharibika haifanyi kazi, kwa hiyo nashindwa kufanya kazi za Web Development.

Nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ili angalau nipate fedha kwa ajili ya kununua PC mpya kwa ajili ya kazi zangu. Naweza kufanya kazi za ofisini za kutumia computer kama zipo, pia naweza kusimamia biashara kama duka.

Pia naweza kufundisha masomo kama mathematics na physics, kama una mwanao wa secondary au shule ya msingi naweza kumfundisha. Naomba msaada wa kazi ndugu zangu, nitafanya kwa bidii na Mungu awabariki sana.
Nakuombea
 
Mamserenger

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
661
1,000
Achana nae... katika maisha epuka kujishusha kwa mtu asiyeonyesha kujali... ngoja nikusaidie ushauri kidogo... andika barua ya kuvolunteer katika Halmashauri kama Tano hivi ...Halmashauri nyingi zina changamoto katika kitengo cha Habari na mawasiliano... pia system nyingi serikalini zipo slow na zinacorrupt mara kwa mara... kutokana na mifumo mibovu ya kizaman... Nendo Mahospital ya serikalini pia... Mbali na hapo watumishi wengi watakupa Tenda za Pc zao na mabadiliko utaanza kuyaona taratibu... pia utatengeneza network nzuri ambayo itakusaidia hata katika upataji ajira ... niliwahi kumshauri dogo mmoja alikuwa na diploma ya IT saiv ni mtumishi wa municipal... mtangulize mungu mbele na usikubali kukatishwa tamaa!
Yaap Good idea uko vizuri sanaa mkubwaaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
642
500
Habari wana Jamiiforum,

Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development.

Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia kwa shuhuli zangu imeharibika haifanyi kazi, kwa hiyo nashindwa kufanya kazi za Web Development.

Nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ili angalau nipate fedha kwa ajili ya kununua PC mpya kwa ajili ya kazi zangu. Naweza kufanya kazi za ofisini za kutumia computer kama zipo, pia naweza kusimamia biashara kama duka.

Pia naweza kufundisha masomo kama mathematics na physics, kama una mwanao wa secondary au shule ya msingi naweza kumfundisha. Naomba msaada wa kazi ndugu zangu, nitafanya kwa bidii na Mungu awabariki sana.

Mkuu, kuna kazi moja hivi imetangazwa Nelson Mandela Arusha nadhani ungejaribu ku-apply kiongozi...!
 
Moment of silent

Senior Member
Feb 19, 2021
137
225
Achana nae... katika maisha epuka kujishusha kwa mtu asiyeonyesha kujali... ngoja nikusaidie ushauri kidogo... andika barua ya kuvolunteer katika Halmashauri kama Tano hivi ...Halmashauri nyingi zina changamoto katika kitengo cha Habari na mawasiliano... pia system nyingi serikalini zipo slow na zinacorrupt mara kwa mara... kutokana na mifumo mibovu ya kizaman... Nendo Mahospital ya serikalini pia... Mbali na hapo watumishi wengi watakupa Tenda za Pc zao na mabadiliko utaanza kuyaona taratibu... pia utatengeneza network nzuri ambayo itakusaidia hata katika upataji ajira ... niliwahi kumshauri dogo mmoja alikuwa na diploma ya IT saiv ni mtumishi wa municipal... mtangulize mungu mbele na usikubali kukatishwa tamaa!
Mkuu nimeukubali ushauri wako mtu usikubali kujishusha kwa mtu asiyeonesha kujali,, Hii hali ilitokea juzi tu katika mihangaiko yangu ya kutafuta ajira katika kampuni flani licha ya kuwa na taaluma yangu ya uhandisi ujenzi ila dharau nliyokutana nayo kwa mmliki wa hiyo kampuni ndipo nilipochukua ujasiri wa kutemana nae siku hiyo hiyo, maana ni mtu ambae mwenye dharau na asieleweka na jinsi nlivyoona anavyo watreat vibaya vibarua au wafanyakazi wake na tena wengi wao ni watu wakabila lake so nikaona huyu jamaa ataniletea dharau kama vile anavyo wafanyia wafanyakazi wake, nlimuona ni mtu wa dharau sana na mwenye kauli chafu kiasi kwamba mtu ukiwa sio mstahmilivu mtachafuana siku hiyo hiyo, nikaona nimove on kwengine huenda kule hakuna kheri na mimi.

Nanukuu tena "usikubali kujishusha kwa mtu asiyeonesha kujali"
Huu msemo nitatembea nao ndugu.
 
  • Thanks
Reactions: PHR

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom