MSAADA : Jinsi ya Kuingiza Piano Kwenye Beat kwa Kutumia Fruit Loops (FL Studio)

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,955
2,166
Heshima kwenu wakuu.

Well, naomba msaada kwenu wakuu. Kwa mfano nina beat, halafu niko na program ya FL Studio, sasa nahitaji kupiga au kuongeza some instruments kwenye hiyo beat kwa Kutumia FL Studio nafanyaje wakuu?

Naombeni muongozo wadau. Natanguliza shukran kwenu wakuu.

Thanks a lot.
 
Import au drag hiyo beat yako katika program ya fl studio kwenye pattern yeyote..either pattern 1 au ya 2...iwe katika format ya WAV.subiri ikimaliza ku load mpka 100%
Utaona imekaa katika pattern pale

then katika pattern itakayofuata baada ya pale ilipo beat nenda add vst yeyote ya piano uliyonayo kama ni nexus,ravitu,purity. Nk

Then anza kupiga ukfuata key na bars za hiyo beat yako huku ukirecord

Samahani nimetoa maelekezo kama tu una ufaham au uzoefu na hiyo fl studdio..

NB: fl studio version kuanzia 8 itakufaa zaid
 
Program zinatabia hii
1. Delay/Autosilence in rendering files
Hii inatofautiana kutokana na format ya file, Yaani ukidrag beat ya mp3 ukaidrop kwenye track list ya FL ukizoom in mwanzoni utaona Kuna space katika waves spectrum, kwahiyo unahitaji kuapply cutting ya silence area na kuangalia upya by feeling how it sound.

2. BPM default calculation
BPM ya beat unapoiweka kwenye FL inakuwa sio the same na hasa kama beat haina tempo informations, kwahiyo unaweza calculate track BPM google for it then utaiset as default ndipo Uta add vitu vyako.

3. Compression
Unapofanya rendering Kuna details utazimiss kwasabu una export x2 x 1 instruments ambazo ziko pure exported from vst, so ni better ukacrack beat na kuipiga manually it's so simple if you know how yo play piano.
You can easily find key of your beat with advance tuning software like melodyne. Or you can use your ear.

Tumia pattern drag beat yako kwenye track list, don't forget to route into different mixer tracks.
 
mzee unapiga biti ngumu za Hip Hop?
 
Naiwekaje kwenye format ya wave kiongozi...?

Well, sidhani kama nna vst yoyote, vipi kama nikitumia piano zilizopo kwenye FL hazitofaa kiongozi...?

Ufahamu wa FL ninao kidogo sana ila kupiga kwa kufuata key na bars naweza coz naamini nna sikio la muziki kiongozi.

Kwenye laptop yangu nna v12 ila imezingua keyboard, sasa nipo na laptop mpya ndio naishusha FL v20 hapa kiongozi.
 
fungua fl alafu kafungue folder ya computer yako ilipo iyo beat then ishikilie iyo beat idondoshee kwenye piano roll,simple kabisa...
ukianza kutafuta sample kali zenye ujazo nitafute

Actually huwa nafungua tu FL na kuanza kugonga kutokana na vibes tu iliyokuja kwa muda huo mkuu. Hizi sample inakuwa ni instruments zinazotoka kwenye nyimbo nyingine za mbele au inakuaje mkuu...?
 
Program zinatabia hii
1. Delay/Autosilence in rendering files
Hii inatofautiana kutokana na format ya file, Yaani ukidrag beat ya mp3 ukaidrop kwenye track list ya FL ukizoom in mwanzoni utaona Kuna space katika waves spectrum, kwahiyo unahitaji kuapply cutting ya silence area na kuangalia upya by feeling how it sound.

2. BPM default calculation
BPM ya beat unapoiweka kwenye FL inakuwa sio the same na hasa kama beat haina tempo informations, kwahiyo unaweza calculate track BPM google for it then utaiset as default ndipo Uta add vitu vyako.

3. Compression
Unapofanya rendering Kuna details utazimiss kwasabu una export x2 x 1 instruments ambazo ziko pure exported from vst, so ni better ukacrack beat na kuipiga manually it's so simple if you know how yo play piano.
You can easily find key of your beat with advance tuning software like melodyne. Or you can use your ear.

Tumia pattern drag beat yako kwenye track list, don't forget to route into different mixer tracks.

Hiyo delay huwa inajitokeza unapoweka mp3 song kwenye FL mkuu...? Na huwa inakuwa kwenye mp3 uliyoiweka au kwenye instruments utakazozipiga juu ya hiyo beat kiongozi...?

Huku ku-calculate track bpm kwa google ni kwa kutumia software, website au una-search name of the track kupitia google mkuu...?

Details gani nitazi-miss kiongozi wakati wa kufanya rendering...?. Piano sio mtaalam saaaaan ila kwa kutumia sikio naweza kujua tu kuwa kuna kitu kipo mje ya key mkuu.

Don't forget to route into different mixer tracks, unaweza kunifafanulia hapo kiongozi...?

Natanguliza shukran kwako mkuu.
 
Back
Top Bottom