Nimekuwa na mahusiano na binti asiye na maambukizi ya VVU, anataka tukutane kimwili

CIC malema

Member
Apr 23, 2021
10
29
Mimi ni kijana/mwanaume ninayeishi na VVU kwa muda mrefu sasa hivi nimekua nina mahusiano na binti asiye na maambukizi na kwa sasa kwa hakika ninashuhudia mapenzi ya dhati katika historia ya maisha yangu.

Changamoto; kwa muda amekuwa akitaka mimi na yeye tukutane kimwili nikawa namtolea nje sasa nahisi imefika hatua ataanza kuhisi mimi sina uwezo wa jogoo kupanda mtungi, shida ni kwamba hajui hali yangu ilivyo na kukutana nae faragha ni kitu ambacho kwangu sioni tatizo kwa sababu tunaweza tumia kinga.

Lakini kinachonipa mawazo ni kwamba yeye anasema hapendi kutumia kondomu kwa sababu zinapunguza ladha na Mimi moyo wangu na akili yangu vinasita sana naogopa sana kumuambukiza na TUNAPENDANA SANA.

NIFANYE NINI KWENYE HIKI KISANGA?
 
Probability:

Ukimuambia ukweli
1.atakuacha=utaumia
2.atakubaliana na hali=utafurahi

Usipomwambia ukweli
1.utaumia
2.ataumia


NB: Unaweza kuwa na hofu kumwambia kumbe na mwenzako nae anao.

JILIPUE MKUU tulivyokuwa tunasoma entrepreneurship RISK TAKING ILINIINGIA HADI KWENYE MFUMO WA MAISHA YANGU HUWA NAJILIPUAGA FULL. Kwenye biashara kwenye mahusiano pia kwenye baadhi maamuzi.

Unavyotafakari sanaaa ndo utatoka na maamuzi mabovu.
 
Muulize vizuri. Inawezekana naye ameathirika ila moyo wake ni tofauti na wako. Yeye hajali kuambukiza wengine...
inachonipa mawazo ni kwamba yeye anasema hapendi kutumia kondomu kwa sababu zinapunguza ladha na Mimi moyo wangu na akili yangu vinasita sana naogopa sana kumuambukiza na TUNAPENDANA SANA
 
Mkuu hapa duniani Ni wapitaji tu,hakuna wa kuishi milele,usipokufa kwa ukimwi utakufa kwa maleria,sio wote wenye VVU/ukimwi hufa kwa huo ugonjwa.

Mimi nakushauri uchukue huyo binti na Haina haja ya kumwambia Hali yako ya maisha,mbele kwa mbele mkuu.
 
Unaweza ukamwambia ukweli akahisi labda unamtania kuwa jogoo apandi mlima na kuwa unamtania na ukikaa kimyaa atazidi kukuona wewe ni bwege jogoo hawiki , Daah sasa itakuaje? cha msingi vaa kondom mpelee motoooo
 
Endelea kutumia kinga.

Mda si mrefu chanjo ya ukimwi itaanza kutolewa afrika,

Wameanza kufanya majaribio kwenye maabara ni jambo jema
 
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
 
Probability:

Ukimuambia ukweli
1.atakuacha=utaumia
2.atakubaliana na hali=utafurahi

Usipomwambia ukweli
1.utaumia
2.ataumia


NB: Unaweza kuwa na hofu kumwambia kumbe na mwenzako nae anao.

JILIPUE MKUU tulivyokuwa tunasoma entrepreneurship RISK TAKING ILINIINGIA HADI KWENYE MFUMO WA MAISHA YANGU HUWA NAJILIPUAGA FULL. Kwenye biashara kwenye mahusiano pia kwenye baadhi maamuzi.

Unavyotafakari sanaaa ndo utatoka na maamuzi mabovu.
Nimewaza hivyo pia.uskute mwezie pia ni +ve.
 
Back
Top Bottom