Msaada wenu waharaka wakuu hawa aliexpress siwaelewi kabisa, sijui ndo napigwa hivo.

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Nov 4, 2020
1,326
2,239
Iko hivi wadau niliweka oda alie wiki ilopita ni oda ya simu ya simu toka kwa seller MI POCO, akaship mzigo kesho yake ila cha ajabu jana tar 11 na angalia nakuta mzigo umearrive destination country country , nkajiuliza mbona fasta hivo, nkaingia parcelapp tracking nkakuta mzigo umeika origin country Belgium hapo ndo nimechoka nkitrack kwa kutumia tarcking site zingine kama 17tracking wanasema mzigo ready for shipment, nimewatauta customer service alie na angukia kwa EVA, msaada wenu wakuu hapa nafanyaje.
Shippment method ni aliexpress standard shopping sijui ndo imeungana na netherland post (postnl)
track no RU881864567NL
Hii ni link ya parcelapp Universal Parcel Tracking - Global Package Tracking

hii ni ya track 17 ALL-IN-ONE PACKAGE TRACKING | 17TRACK

na hii ni ya cainiao global tracking Global Parcel Tracking

hapa ndo nachanganyikiwa wakuu msaada wenu.

Chief-Mkwawa
Kilangi masanja
IBRA wa PILI
 
Mkuu nime track hio no.
-origin china
-destination Tanzania
-sasa hivi upo Holland/Belgium.

Sioni Tatizo hapo wamefaulisha tu.
hapo mi nkajua utapita holland coz inatumia postnl ya holland skujua kama na kwingine ie belgium hupitia pia, asante kwa msaada mkuu.
 
Naomba nieleweshwe na mimi kuhusu aliexpress mzigo ataupokelea wapi ? Au wanaleta kama kikuu ?
 
wakuu habari hivi kutokana na uzoefu wenu mshawai kukatwa kodi na TRA kwa kuagiza simu hususani kama yangu hapo juu ili niandae mwili na roho ilikupambana na TRA.
 
Back
Top Bottom