Mke wangu anawashwa kila tukitumia Condom

Mke wangu anawashwa kila tukitumia Condom

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,786
Reaction score
5,120
Mke wngu amawashwa sana kila nikitumia kondom kushiriki tendo,

Nikienda kavu anakua sawa

But nikitumia tu komdom baada ya kumaliza tendo anawashwa sana sehem za uke mpk kujikuna sana hii inaweza kua tatizo nn wapendwa?

Maana kufanya bila kondom inaweza kupelekea kupata mimba za kukalibiana sana na kondo ndo hvo inamsumbua,
tatizo ni nini?
 
Si mtumie felplan muachane na
Hzo condom juz nmetoka kutumia
Dem kalala Sana hatak tena
 
Mambo, inawezekana ni ile lubrication sijui mafuta yale yanayokua kwenye ndom... sometimes pia ile rubber material inamletea reaction
 
Acha kutumia condom za bure au za bei nafuu.....ndio huwa zina tabia hiyo ila tumia condom za bei kubwa dulex....nakuendelea hutoletewa lalamiko tena
 
Ukute yeye anapenda iwe kavu kavu ww hujajua tu anasingizia kuumia
Endelea na kavukavu ww
 
Mke wngu amawashwa sana kila nikitumia kondom kushiriki tendo,

Nikienda kavu anakua sawa

But nikitumia tu komdom baada ya kumaliza tendo anawashwa sana sehem za uke mpk kujikuna sana hii inaweza kua tatizo nn wapendwa?

Maana kufanya bila kondom inaweza kupelekea kupata mimba za kukalibiana sana na kondo ndo hvo inamsumbua,
tatizo ni nini?
Sasa si usitumie kondom? Mbona simpo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom