Msaada kwa aliewahi kufaulu Uptitude Test ya Alistair Company Ltd

Zero Competition

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
310
451
Habari za muda huu

Kama wiki imepita nilifanya Aptitude test ya Alistair Company sasa juzi wamenitumia majibu yangu kwamba nimefaulu

Kuna mtu hapa alishawahi kufaulu hii test yao ? Na je baada ya kufaulu nini kilifuata ?

Mana mimi wameniambia kwamba timu yao ya kuajiri ina screen Cv yangu ila sijajua nini kinafuata

Naomba kwa yoyote mwenye ufahamu anijuze

Ahsante
 
Back
Top Bottom