Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,513
- 3,437
Hizi ni movie hazifunguki kwa VLC so nataka kuziconvert ili zifunguke kwa VLC Winx Hd na Any video converter zimeshindwa ku convert
Utakuwa umedownload kwa kutumia vidmate, ndio wana uhuni huo. Hapo ni mpaka uwe na app inaitwa PlayitView attachment 1933910View attachment 1933914
Hizi ni movie hazifunguki kwa VLC so nataka kuziconvert ili zifunguke kwa VLC Winx Hd na Any video converter zimeshindwa ku convert
Sawa mkuuProbably wamesha encrypt wala haipo kwenye format za video.
Achana nayo download tena hio movie bila kutumia takataka za wachina.
Exactly, nimeinstall playit ni app mbaya kuwahi kutokeaUtakuwa umedownload kwa kutumia vidmate, ndio wana uhuni huo. Hapo ni mpaka uwe na app inaitwa Playit
Hiyo App ni ya kishamba sana. Binafsi ili kukwepa mtego wa kuitumia, huwa nikitaka kudownload vitu youtube, situmii vidmateExactly, nimeinstall playit ni app mbaya kuwahi kutokea
Unatumia nini mkuu?Hiyo App ni ya kishamba sana. Binafsi ili kukwepa mtego wa kuitumia, huwa nikitaka kudownload vitu youtube, situmii vidmate
haina haja ya kuwa na app ingia kwenye browser yako search www.y2mate.com search video yako chagua resolution then enjoy mkuu.Unatumia nini mkuu?
Daaah! Shukraan Mkuu. Kuna kitu nimekipata kutoka kwako!Utakuwa umedownload kwa kutumia vidmate, ndio wana uhuni huo. Hapo ni mpaka uwe na app inaitwa Playit
Tumia Snaptube mkuu haina huo ushenziExactly, nimeinstall playit ni app mbaya kuwahi kutokea
Poa mkuuHiyo App ni ya kishamba sana. Binafsi ili kukwepa mtego wa kuitumia, huwa nikitaka kudownload vitu youtube, situmii vidmate
Poa mkuuTumia Snaptube mkuu haina huo ushenzi
Hakuna kaka wameweka extension inayoweza kuplay kwa hiyo app pekee.Poa mkuu
Pia kwa kutumia hiyo hiyo vidmate, unaweza ikwepa hiyo "playit" ili format ya video utakayo-save iwe ni mp4.Utakuwa umedownload kwa kutumia vidmate, ndio wana uhuni huo. Hapo ni mpaka uwe na app inaitwa Playit
Nami yamenikuta haya. Bila play it siplay videos. Nimezidownload kwa vidmate. Tunafanyaje hapa.Utakuwa umedownload kwa kutumia vidmate, ndio wana uhuni huo. Hapo ni mpaka uwe na app inaitwa Playit
Mimi nishazifuta nadownload upya torrent moviesNami yamenikuta haya. Bila play it siplay videos. Nimezidownload kwa vidmate. Tunafanyaje hapa.
Yes inaonyesha kwelUtakuwa umedownload kwa kutumia vidmate, ndio wana uhuni huo. Hapo ni mpaka uwe na app inaitwa Playit