Msaada wa kuomba kazi

Valence Cheti

Member
Aug 7, 2018
5
3
Habari wanajamii forums

Naomba ushauri wenu kwa wanaojua Sana au kidogo juu ya hiki ilimradi nipate dondoo ata kidogo tuu ni hivi nimemaliza chuo mwaka jana nilisomea course ya education(ualimu) Sasa Kama mnavyojua ajira ni ngumu wandugu na mtaani ni kugumu usiambiwe. Sasa katika pita pita za apa na pale za kutafta kazi nikaingia reception ya kiwanda kimoja ivi kinajihusisha na utengenezaji wa sigara.

Nikaeleza shida angu pale wakanipa email nitumie maombi ya kazi Sasa changamoto yangu sijui ndani ya hiki kiwandani Cha sigara Kuna shughuli zipi na vitengo vipi ambavyo Mimi Kama mhitimu wa course ya ualimu naweza nikaimood so kwa mwenye dondoo kidogoo tuu tusaidiane ndugu.

Nawezaje nikatumia hii fursa Nani kupata chcht maana life is so harder.

Karibuni kwa mawazo yenu wanajamii
 
Waambie unataka kuonja ladha ya sigara kabla haijaenda kwa watumiaji, mfano mimi nimeajiriwa kuonja konyagi zote kabla ya kupeleka kwa wanywaji ndio mana konyagi haijajaa mpaka juu mana ile ni kazi yangu.
 
Nenda kwa receptionist tena jidai unaomba anwani ya posta ya kiwanda hapo utajenga professional relationship ndipo utaanza kumuuliza maswali ya vitengo vya humo. Kwa taaluma yako Mungu akikubariki sanaaa... labla supervisor lkn inabidi uombe zile za unskilled labour kubeba na kuweka store, n.k.
Humo ni mwendo wa mainjinia na marketing tu professional zao baada ya hapo administration labla ma hr walimu hawana nafasi hapo
 
Back
Top Bottom