msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AFRICAN POWER

    JamiiForums Tanzania Msaada miche ya mti wa Mahogany au Mkangazi

    Habari wana jukwaaa hili. Ninaomba yeyote anayefahamu ninapoweza kupata miche ya Mahogany au Mkangazi. Natanguliza shukrani.
  2. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Msaada, narudishaje magrupu ya whatsap?

    Nimebadili simu,ila magrup yote ya whatsap hayapo.Kwa anayejua,naomba msaada wa kuelekezwa namna yakuyarudisha.
  3. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Narudishaje magroup ya WhatsApp baada ya kubadili simu?

    Nimebadili simu, Ila magrup yote ya whatsap hayapo. Kwa anayejua, naomba msaada wa kuelekezwa namna yakuyarudisha.
  4. AFRICAN POWER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi naweza kupata mbegu za Safflower au Katamu?

    Habari wadau wa kilimo. Naomba kufahamishwa sehemu inapopatikana mbegu ya zao la Safflower au Katamu kwa jina jingine?
  5. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kufanya mtihani kama mtahiniwa binafsi kwa ufaulu huu?

    NIKIWA NA BCD KWENYE COMBINATION NAWEZA FANYA MTIHANI KAMA PC KIDATO CHA SITA
  6. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anataka kununua eneo aanze kuchimba Dhahabu

    Habari za muda huu wadau wa JF? Naomba msaada hapa. Nina rafiki mmoja ameniomba msaada anataka kununua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa dhahabu. Anapendelea zaidi Geita na maeneo ya Dutwa (kwa kifupi kanda ya ziwa kwa ujumla) Pia anaomba kujua Gharama za Upimaji wa eneo husika kujua kiwango...
  7. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba msaada wa jinsi ya kupata social security number

    Nimejiajiri, nataka kupata social security number, msaada tafadhali
  8. Aisy

    JamiiForums Tanzania TV ipi bora kwa bajeti ya Tsh 1.5 m

    Habari zenu. Naombeni msaada wa kuchagua TV Bora (mind Sina uzoefu na TV so nahitaji na uelewa pia) budget ni 1.5mil isizidi hapo. Asanteni.
  9. Zero Conscious

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya ‘Biotechnology and Bioinformatics’ inahusiana na nini?

    Habari za muda huu tena wakuu. Naomba msaada na ufafanuzi juu ya Kozi hii inahusika na mambo Gani? BACHELOR OF SCIENCE IN BIOTECHNOLOGY AND BIOINFORMATICS Natanguliza Shukrani
  10. Acehood

    JamiiForums Tanzania Msaada au maoni yako ni muhimu hapa.

    Natumaini sote ni wazima wa afya. Naomba kujua ni jinsi gani naweza kupata kazi iwe ya kujitolea(volunteer) au kuajiriwa katika mashirika ya kimataifa ( UN, UNHCR, UNDP,FAO,USAID,UKAID nk.). Iwe ni skilled work au unskilled work, yoyote tu. Mimi ni university graduate wa 2021. Asante.
  11. vvti engine

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Voda Bima

    Heshima kwenu Wana jukwaa. Kama mada ilivyo, nilipigiwa simu na kitengo Cha huduma kwa wateja Cha Vodabima, wakidai nimekidhi vigezo vyote vya kujiunga na huduma yao ya Vodacom Bima. Maelezo Ni kuwa kwa idadi ya watoto wangu pamoja na mtegemezi mmoja ninatakiwa kulipia huduma hii TSHS. 7,500/=...
  12. Somaiyo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vits new model kukosa nguvu

    Habari wapendwa, kuna kiusafiri aina ya toyota VITS new model chenye ingine ya piston 3 , kinashida ifuatayo:- 👉 Ukipanda mlima kinapoteza nguvu na kuwa kama kina kwikwi, kama kina taka kuzima 👉 ukisimama kwenye mataa yaani kipo kwenye D (drive) na mguu kwenye brake kina kuwa kama kinataka...
  13. moyo wenye aman i

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba zaidi ya hekta 3 linauzwa

    Nawasalimia wanajamvi. Pole na majukumu naomba nijielekeze kwenye mada mzee mmoja tunaefahamiana akanifuata kunitaarifu kuwa anauza shamba lake na ametafuta wanunuzi kwa mwaka sasa hafanikiwi tatizo watoto wake wanamzunguka kwa wanunuzi kwa kuwatishia kuwa baada ya kifo cha mzee wataleta...
  14. Zero Conscious

    JamiiForums Tanzania CBG kapata D tatu, asome kozi Gani?

    Wakuu habari za wakati huu. Nina mdogo wangu amesoma mchepuo wa CBG na amepata D tatu. Naomba msaada ni Kozi Gani nzuri anaweza akasomea?
  15. josephat4312

    JamiiForums Tanzania Nataka nifungue kampuni ambayo itadeal na masuala ya website design and development

    Habari! Mimi ni kijana graduate wa Computer science and technology. Nimespecilize kwenye masuala ya programming hususani Full stack development (Website & App) Na Sasa nafanya Blockchain na data science. Wazo langu nataka nifungue kampuni ambayo itadeal na masuala ya website design and...
  16. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Hii sarafu ya mjerumani ina thamani gani?

    Bila shaka mu wazima wa afya. Naombeni kujua aina hii ya sarafu ilitumika nchi gani na je thamani yake ikoje kwa sasa?
  17. Kiungonguli

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa watoto wanaokula magodoro

    Arusha. “Ninaomba kama kuna mtu anajua dawa ya hawa watoto kuacha kula magodoro anisaidie, maana hadi mimi mwenyewe naogopa, natamani hata kukimbia hii nyumba,” Hiyo ni kauli ya Joyce Mrema (45), mama wa watoto pacha wa kike, mkazi wa Mtaa wa Kanisani uliopo Kata ya Sokoni One jijini Arusha...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo nimalize Deni la sh. 9M

    Habari wana JF , nina Deni la 9M linanisumbua sana ili niweze kilimaliza nna hitaji kila mwezi nipate 900k lasivyo litazidi ongezeka . Wana JF hapa mfukoni nna 2.2 M nifanye shughuli gani inisaidie kulimaliza maana linaongezeka na mimi kibanda changu cha M pesa /tigo/airtel na halo pesa kina...
  19. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Wakati Turkey ikiwapa "msaada" wa drones 4 Ukraine Iran inatarajiwa kutoa mamia ya drones kwa Russia

    The United States said Monday that it has intelligence indicating Iran may soon supply Russia with hundreds of unmanned aerial vehicles, including “weapons-capable” drones, to use in its war with Ukraine, a move that would underscore the growing cooperation between two American adversaries...
  20. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanao hitaji kuandika Proposals, research, essay na Business plan

    Tunatoa maelekezo na msaada kwa wanachuo na wasio wanachuo ambao wanahitaji kuandika Proposals, business plan, Research na Esay. Haijalishi ni ya conpetition au ya submission ambapo hakuna competition. Wasiliana nasi twitter @trade_ip_const au kwa email: tradeandintellectualpropertyc@gmail.com...
Back
Top Bottom