Samahanini ndugu zangu naomba msaada kwenye kupata Avn Maana kila nikijaza registration ya Certificate na diploma naambiwa wrong registration shida ni Nini?
Dear Team,
Introduction:
Nimefika kwenye slub stage ili niendelee na floor ya kwanza,
What do I need? Ninahitaji kupunguza gharama za materials kwa kupata twiga cement 42.5 (200 bags) direct from kiwandani pale wazo hill hivyo naomba yoyote mwenye kuweza kunisaidia hili nahitaji bags 200...
Wataalamu wa mambo simu yangu Samsung imejiweka kialama cha funguo kwa juu huku upande wa inapoonyesha betri.
Siwezi kushusha skrini ili niwashe data, torchi etc. Wataalamu wa mambo msaada wa kukiondoa hiki kifunguo.
Marekani imetangaza kutoa msaada wenye thamani ya Dola Milioni 270 (Tsh. Bilioni 627.4) wa ulinzi kwa Ukraine ukihusisha roketi nne za kivita aina za HIMARS, ndege 580 ndogo zisizo na rubani na risasi 36,000 za bunduki za M777.
Rais wa Marekani, Joe Biden ameweka wazi kuwa wataendelea kuisapoti...
Wadau hamjambo
Nipo maeneo ya Mbezi beach naombeni msaada kwa mujibu wa kichwa Cha habari.
Mashine yangu ya kidigitali ya kupimia mapigo ya moyo imeharibika Baada ya kudondoka chini na hivyo haisomeki vizuri.
Wapi napata fundi wa haraka na aliye mjuzi?
Nina mgonjwa nyumbani ambaye ni Mama...
Kwa takriban miongo sita (6) nchini Tanzania tunazidi kuwa Wimbi la ajira kwa vijana wanaotoka mashuleni kwa sababu ya kile tunachofundishwa darasani.
Kwa sababu, tunafundishwa masomo ya kukariri na kwenda kujibia mtihani, kitu ambacho baada ya kufaulu ndipo unapoonekana ulielewa darasani ama...
Ndugu wafanyabiashara, wajasiriamali na wabobezi wa masuala ya uchumi wasalaam!
Mimi huwa najishughulisha na uchimbaji wa madini ya Rubby na Dhahabu, sasa naomba kwa mwenye uzoefu wa soko zuri la rubby na dhahabu anielekeze ni wapi kuna bei nzuri au bei ina-range kuanzia kiasi gani kwa gram ya...
Umoja wa Ulaya (EU) umekubaliana kuipa Ukraine msaada zaidi wa kijeshi wa Dola Milioni 508 (Tsh Trilioni 1.17).
Rais wa Baraza la EU, Charles Michel amesema mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ulaya wamekubaliana katika mkutano wao uliofanyika Brussels kujadili awamu nyingine ya vikwazo dhidi ya Urusi...
Wandugu nilikuwa natumia Samsung yangu kama hotspot bila shida. Tatizo lilitokea baada ya ku update software ya Samsung.
Sasa kila nikijaribu kufanya connection, napata error kwenye laptop kuwa "Limited access " . Namejaribu ku Google kupata ufumbuzi nimeshindwa.
Naomba msaada toka kwa...
Habari za muda huu wadau wa JF?
Naomba msaada hapa.
Nina rafiki mmoja ameniomba msaada anataka kununua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa dhahabu.
Anapendelea zaidi Geita na maeneo ya Dutwa (kwa kifupi kanda ya ziwa kwa ujumla)
Pia anaomba kujua Gharama za Upimaji wa eneo husika kujua kiwango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.