msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maoni kuhusu ununuzi wa kiwanja

    Wakuu habari zenu. Kuna kiwanja Kiko sehemu nzuri sana kimetangazwa kuuzwa. Mwenye kiwanja alishafariki, alikuwa anaishi na mwanamke lakini walitengana kabla marehemu hajafa, na baada ya kufariki familia ilimpa baadhi ya maeneo mke walietangana Ili aweze kumudu kuwahudumia watoto alioacha...
  2. system hacker

    JamiiForums Tanzania Wale wa Geography msaada wenu hapa tafadhali

  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada ::Rafiki yangu akiwa Home anapiga show mbovu ila akiwa Away anapiga show kali sana

    Habari ! Ni rafiki yangu na Ni classmate wangu amenishirikisha hili Jambo la kupiga show mbovu home ila akitoka akienda sehemu yoyote anapiga show kali sana!, Mimi kwa upande wangu nimeshindwa kumpa jibu la kueleweka maana sijui , hivyo humu ndani kuna watu wanaelewa Sana hivyo ningeomba kupata...
  4. Father of Chemistry

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Tatizo ni meno kuwa na rangi nyeusi (Meno 🦷)

    HABARINI ZA WEEKEND WANA JF, Natumai mu buheri wa afya. Kwa Ufupi Mimi ni kijana wa kiume miaka 22. Ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo apa Tanzania. Nimeandika huu uzi kuomba msaada ni dawa gani nzuri ya meno au tiba ambayo itatumika kungarisha meno. Apa tatizo ni meno kuwa na rangi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kazi yangu

    Habari kwenu nyote, Bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu, naanza kwa utambulisho mfupi ili niweze kusaidika kama ninavyotarajia maana JF kuna wataalam wa kila namna Mimi ni mwalimu, nimekua kwenye hii kazi kwa muda wa miaka minne sasa, nimekua nikifundisha katika...
  6. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nijue namna ya kudai haki yangu kwenye hili

    Wakuu naomba nisaidiwe. Nimetoka Mwanza Leo August 5 na basi la Kampuni ya Kapriconi lenye namba za usajili T 320 ADC tukiwa tunaelekea Mbeya. Tumefika saa 3 na nusu usiku , ghafla gari ikaamua kuishia iringa na Sisi abiria kuambiwa tupande coaster na ikaondoka fasts. Kwenye Kosta mlangoni...
  7. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Msaada katika ku apply chuo must

    Nimesha Lipa ila naona kwenye application hakuna kinacho endelea
  8. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu DHL, UPS NA Fedex

    Ipi huduma bora na nafuu kati ya hizo? Je, DHL huwa wanachaji gharama unapopokea mzigo? Mzigo wangu NI bahasha tu ya documents. Ninaipokea kutoka Afrika Kusini.
  9. Imalamawazo

    JamiiForums Tanzania Msaada nataka kumbadilishia mazoea

    Ma legends, Nimepata changamoto ya kusafiri na huyu wife material! Changamoto ninayopitia ni kuwa kila tukianza safari ya utalii wa ndani, huwa tunaanza kwa pamoja, kanda ya kaskazini. Tunapotoka kanda ya kaskazini mimi huwa niweke pozi kanda ya ziwa. Hapo nitakaa muda kadhaa nikirukaruka...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu mgawanyo wa fedha za malipo ya marehemu

    Habari humu ndani naomba kupata mwongozo kidogo Baba yangu alikuwa na mji hapa dar na amefariki sasa mji wake umetwaliwa na TRC kwa ajili ya ujenzi wa SGR sasa malipo yake ndio naitaji kujua mgawanyiko wake unakuwaje tuko watoto sita na mama , kuna jambo moja nataka kuongeza hapo sisi watoto...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NSSF

    Habari Hivi claims status kwenye account ya NSSF ikibadilika na kusomeka APPROVED. Huwa inachukua siku ngapi mpaka kuingiziwa pesa zako?
  12. nordenconrad

    JamiiForums Tanzania Natafta software ya solidworks au fusion 360... msaada please.. for mechanical engineering and design

    Natafta software ya solidworks au fusion 360... msaada please.. for mechanical engineering and design
  13. Wangwambo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku upload kitambulisho cha NIDA HESLB

    Habari wadau, Naomba aliyefanikiwa ku upload file la nida kwenye mfumo wa maombi ya mkopo maana nimejaribu zaidi ya mara tatu inanigomea , au kuna sehemu nakosea?
  14. keivanti

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tatizo la sikio baada ya kujigonga

    Habari Wana JF kuhusu Afya. Somo Hapo juu lahusika. Nasikia mwangwi na Cha ajabu nikiwa kwenye midundo mikubwa nasikia ngoma zinalilia sikioni. Msaada maana hospitalini nitaishia kupewa vidonge ushauri wenu kwanza. Asante
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nashauri iwe lazima vyombo vyote vya moto viwe na kiboksi cha huduma ya kwanza chenye gloves ili kurahisisha msaada kwa majeruhi

    Habari wadau! Ushauri wangu kuna watu wanaweza kuupuuza! Lakini itakuwa na maana tukijadili humu kwa pamoja! Hakuna aliyesalama hata ukijihesabia haki kwa utajili/cheo na Mali ulizo Nazo. Huko barabarani hata viongozi hupatwa ajali, hata matajili hupatwa ajali, wachungaji hupatwa ajali n.k...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Kumuota mtu ndotoni mara nyingi ina maana gani? Huyu binti mara nyingi namwona ndotoni

    Za asubuhi wakuu, Story inaanza mwaka jana kuna mdada mtaani kwetu nlimgea kizawadi Kidogo kama gia ya kumtongoza ila Baada ya hapo nlibadilisha mawazo, sikuendeleza mazoea nae, niliahirisha kumtongoza, sasa tangu siku hiyo nikilala namwota, unaweza sema namwota sababu nampenda Sana na...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 2,000 wa Urusi wazingirwa, waomba waachiwe watoke kwa amani

    Jameni hivi inaingia akilini supapawa anaacha wanajeshi wake wazingirwe kizembe hivi na kuachwa kwenye hali ya hovyo, yote hii wanafanyiwa na kainchi kadogo hapo jirani. Ukraine alicheza parefu kwenye hili, mnawaacha waingie kisha mnawazingira...... Wakuu wa hizi battalion wameomba yasifanyike...
  18. The bump

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Namba za Simu za Askari wa Kituo cha Stakishari au kituo kizuri kwa adhabu Mwili

    Nina jambo limenipata nina mwizi wangu ambae nina vithibitisho kwa 98% lakini kutokana na maeneo nilipo na yeye alipo nikimuweka ndani kwenye vituo hivi atapata Dhamana haraka. Naomba msaada wa namba za simu wa askari wa kituo cha stakishari ili nikafungulie kesi yangu kule au namba za simu za...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mbinu za kufundishia somo la Kiingereza

    Habari wakuu, Jamani naomba msaada mbinu za kufundishia somo la Kiingereza shule za sekondari hasa za kata.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Maji yamenifika shingoni, naomba msaada wakuu

    Heshima kwa wakuu wote Mdogo wenu hali tete. Kijana wa kiume. Dira haisomi. Nipo Dar Wakuu kama kuna mtu ana kazi ya ulinzi, au kazi ya kusimamia lodge/guest yake popote nchini nipo tayari. Ni muaminifu, sidokoi cha mtu. Nina elimu ngazi ya diploma. Nina changamoto fulani za kiafya zimekua...
Back
Top Bottom