msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Cuba, taifa lilikua na uswahiba wa karibu sana na Urusi, laomba msaada Marekani

    Sio rahisi kuepuka Marekani.... Cuba has asked the United States for help in restoring a major fuel storage plant devastated by a massive fire that left 16 people dead, the island nation's foreign ministry said on Friday. The request was made during an online meeting Wednesday between experts...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naweza kutumia namba za simu tofauti kuombea mkoo HELSB

    Wapenda naombeni msaada kwenye hili. Hivi ninaweza kutumia namba za simu tofauti katika maombi ya mkopo wa elimu ya juu na maombi ya chuo Hususani katika maswala ya kulipia kupitia control number ? Msaada please
  3. Titus3652

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu whatsApp yangu,Nashindwaa kupata verification code

    Wakuu nashindwa kupata verification code ya whatsap shida ni nini naombeni msaada wenu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba tiba ya maumivu haya

    Kuna ndugu yangu ana tatizo yaani ana maumivu makali kuanzia sehemu ya chini ya shingo upande mmoja kuja begani mpaka kwenye mkono(ni sehemu ndogo tu) valianza kusikia maumivu kidogo kama wiki moja akadhani labda analala vibaya lakini kadri siku zinavyokwenda maumivu yakazidi, ikabidi aende...
  5. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Tatizo la wanaume kuota matiti

    Tatizo la kuota matiti kwa wanaume dawa yake nini ,matiti yanavimba ukiyabonyeza kunakuwa na kitu kigumu kwa ndani, sasa nataka hako kajitu katoke je nifanyeje? Kama kuna dawa ya asili pia naomba msaada.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka tafadhali; Tiba ya matiti kuvimba na kuuuma kunakopelekea homa kali.

    Natumaiani hamjambo wana JF Nina ndugu yangu Umri ni 50+ anasumbuliwa na tatizo la matiti kupata maumivu makali ya kujirudia rudia hasa upande kushoto yanayopelekea uvimbe, na hujihisi joto pindi yanapoanza kuuma. Maumivu hujirudia baada ya muda (Mf wiki 1 au 2). Ni tatizo la muda mrefu kidogo...
  7. venossah

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo juu ya bati za kampuni ya ANDO

    Habari za wakati huu wakuu Kwa waliowahi kutumia au wanaojua juu ya mabati tajwa hapo juu. Vipi kuhusu ubora hasa kwa upande wa kupauka Natanguliza shukrani.
  8. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtataalamu wa kutengeneza QR Code zenye taarifa zote muhimu

    Namhitaji mtaalamu ambae nitafanya nae kazi, nitamlipa kwa kila QR Code moja atakayokuwa anaitengeneza. Tafadhali nicheki PM kwa mawasiliano zaidi.
  9. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania msaada wenu wakuu kwa mdogo wangu

    wakuu katika harakati za kuomba course mbalimbali za kusoma chuo, mdogo wangu alichangua course zimefuatazo UDOM ( nimeziambatanisha kwenye picha) Lakini mbaka first selection zimetoka kwenye profile yake ambayo alitumia kuombea course hamna notification yoyote inayoonesha labda kakosa na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ilifikiria vizuri kuhusu msaada wa Vishikwambi?

    Hivi majuzi Serikali ilipatiwa msaada wa vishkwambi kwaajili ya zoezi la sensa kutoka korea ambapo balozi wa Korea nchini Tanzania alivikabizi Kwa waziri mkuu na tayari vimeanza kufanyia kazi iliyokusudiwa swali langu ni je 1. Idara za Usalama wa Taifa nchini ilijiridhisha vizuri kupokea...
  11. Lastmost

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kujua kuku kama amegongwa na nyoka baada ya kumchinja?

    Unawezaje kujua kuku kama amegongwa na nyoka baada ya kumchinja? Wakuu leo asubuhi bandani kwa kuku nilisikia kuku wakirukaruka, kelele kama wanapigana na vurugu, baada ya kufungua Banda nimemkuta kuku mmoja akiwa taabani,ikabidi nimuwahi kisu kabla hajakata Moto. Sasa sijajua ni nini...
  12. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Nimeaza kuandika vitabu, Nahitaji msaada zaidi

    Salamu wapendwa Katika kitu ambacho nilikuwa natamani basi ni kuwa na kitabu changu (Ni passion yangu). Nime-plan kuandika vitabu kadhaa Kama reference kwa wanafunzi. Basi Kwenye hii likizo nilianza kuandika kitabu kimoja, ni ngumu lakini naona inawezekana. Nimepanga kuandika vitabu sita...
  13. Rhz4567

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nini cha kufanya baada ya panya kula pesa

    Panya wametafuna pesa zangu zaidi ya laki tano,pesa zingine wametafuna kabisa Nikizipeleka benki watazikubali kweli kwa hizi nilizo zipiga picha
  14. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikibadili kozi kwa chuo kile kile ili nichaguliwe chaguo la pili, nalipia tena?

    Nisaidien mawazo kwa anaejua ,jaman sijachaguliwa first selection naulizia je nikirudia kuomba course nyingne tofaut na nilizoweka mwanzo lakn vyuo vilevile second selection nalipia Tena hela au
  15. Escotter20

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo kijana aende chuo gani kati ya hivi

    Shikamoni wakubwa zangu wote Nina binamu yangu kabahatika kachaguliwa kozi za bachelor of Education in electronic and electric engineering pale MUST pia KACHAGULIWA KOZI YA FORESTY Pale SUA... Nimekuja kuomba USHAURI mbele yenu kijana a confirm wap.. But yeye kama yeye yuko open minded...
  16. John120

    JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhari

    Habari za muda huu ndg zangu! Samahani sana wadau mwenye kufahamu upatikani wa hiki kifaa popote hapa nchini kwetu Tanzania.....naamini Tanzania ni pana na ina watu wengi kila kona Jina la kifaa: round stainless heater/ ring heater/band heater Samahani sana mwenyewe kujua naomba tuwasiliane...
  17. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Msaada :Date of Birth Confirmation ni nini?

    Wakuu Habari zenu Naomba kuuliza hichi kitu mara moja, nimekutana nacho sehemu na nimeshindwa kuelewa ni kitu gani. Kulikuepo na sehemu ya Date of Birth hiyo nimejaza, ichi kipengele cha Date of Birth Confirmation nimekwama, nime-google nimeshindwa. Naomba masaada, wakuu
  18. Mbu

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wajameni eeh, Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania. Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake). =======
  19. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kampuni ya upimaji ardhi maarufu kama Ardhi Plan

    Habari wana jamvi, Miaka kadhaa iliyopita nilinunua ardhi maeneo ya Kigamboni kupitia kampuni ya Ardhi Plan. Ofisi zao zilikuwa pale maeneo ya Shaurimoyo, Ilala ila kwa sasa hawapatikani/hawapo tena maeneo yale. Nimejaribu kuwatafuta kupitia namba zao za simu ambazo zinapatikana kwenye...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Marekani kupeleka Haiti msaada wa Tsh. Bilioni 11.6

    Msaada huo umetengwa kutoka kwenye Mfuko Mkuu wa Dharura (CERF), ili kushughulilkia hali mbaya ya Chakula nchini humo inayosababishwa na ghasia za magenge ya waasi Ripoti ya Mashirika ya Misaada ya Umoja wa Mataifa imeonesha tangu mwezi Julai 2022, takriban watu 500 wameuawa katika mapambano...
Back
Top Bottom