Msaada wa kupata Award Verification Number {AVN}

Otman Moood

Member
Joined
Jul 12, 2022
Posts
47
Reaction score
20
Samahanini ndugu zangu naomba msaada kwenye kupata Avn Maana kila nikijaza registration ya Certificate na diploma naambiwa wrong registration shida ni Nini?
 
Kwenye registration number inapokusumbua nishajua bwana mdogo jaza namba Yako ya mtihani ya form four ila kwa mfuno huu hapa chini NS2688/016/2016 Kumbuka kuanza na NS hapo ndo mchawi registration number ya chuo inaanza na NS
 
Cjaelewa bro mi diploma ilikuwa Ni IRDP/ODDP/SE21/0084 SO NAANDKA IPI MANA NIlipofungua account niliandika Ns3220/0224/2018 so naja za ipi ndugu
 
Registration number sio ya chuo jaza ya form four ndugu
 
Cjaelewa bro mi diploma ilikuwa Ni IRDP/ODDP/SE21/0084 SO NAANDKA IPI MANA NIlipofungua account niliandika Ns3220/0224/2018 so naja za ipi ndugu
Afu kufungua account hauanzi na NS ni unaanza na s tu ndugu
 
Anha kwhyo upande wa Certificate najaza ya form 4 diploma one mna two pote ni ya form 4 ??
 
Back
Top Bottom