msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulamula apokea msaada wa Tende kutoka Saudi Arabia

    Waziri wa Mambo ya Nje Mh. Mulamula jana alikabidhiwa msaada wa Tende kutoka kwa Balozi wa Saudi Arabia nchini. Matunda ya Tende hutumiwa kama tiba mbadala kwa Maradhi mbalimbali. Source: ITV
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Sijaoa bado. Nimekuwa mtu wa papa sana. Asubuhi Pono usiku sikosi Changu. Naombeni Msaada

    Haya maisha kama ukiwa umezoea sana jambo. unaweza teseka sana. Mimi nimechelewa sana kuanza kutumia papa.siku nimeonja tu nikapenda sana... Nikajikuta nitafuata papa popote pale nile. Natamani nioe ili niwe napata papa wakati wote. Sisi wa kanda ya Ziwa wengi tukija Dar basi ndo unakuwa ulevi...
  3. Cactus_assa

    JamiiForums Tanzania Je, naweza pata STI's baada ya kufanya oral sex kwa sekunde 15?

    Za jioni jamani na polen na harakati zote naomba msaada ya ishu imeni face Ni hivi leo nilikutana na demu fulani hivi mida ya saa 2 asubuh sasa nikifany oral sex kwake kwa kama 15 seconds hivi. Nauliza iv naeza pata STIs especially HIV japokua sikua na vidonda vyovyote japo jion hii ndiyo...
  4. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna yoyote ya kukutana au kuwasiliana na mchawi au mganga proffesional

    Nahitaji mawasiliano ya mchawi au mganga yoyote ambae ni proffesional, nina ndoto ya kuanzisha college ya kufundisha teknolojia ya uchawi ivyo basi nahitaji kuonana na proffesional wa hii taaluma ya uchawi ili anithibitishie juu ya uwepo wa hii teknolojia na anipe mwongozo mzuri wa kutimiza...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ukitaka kuangalia account yako ya bank ilikujua imefungiwa au la? Unafanyaje

    Ndugu zangu nina account ya bank ya NMB so nikuwa nataka niicheki bado ipo hai au vipi naombeni msaada wenu kwa wanajua haya mambo
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Seneta Marekani anahoji msaada kwa Rwanda

    Seneta Robert Menendez amesema atasimamisha msaada wa usalama wa Marekani kwa Rwanda katika Bunge kutokana na kuwa na wasiwasi kuhusu rekodi ya haki za binadamu ya Serikali ya Rwanda na taarifa za taifa hilo kuhusika katika mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Ameandika barua...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Award Verification Number {AVN}

    Samahanini ndugu zangu naomba msaada kwenye kupata Avn Maana kila nikijaza registration ya Certificate na diploma naambiwa wrong registration shida ni Nini?
  8. Ok9

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kupata nakala ya online ya kitambulisho cha NIDA

    Habari, Namba ya NIDA ninayo ila nina shida ya online copy naomba namna ya kupata.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye slub work

    Dear Team, Introduction: Nimefika kwenye slub stage ili niendelee na floor ya kwanza, What do I need? Ninahitaji kupunguza gharama za materials kwa kupata twiga cement 42.5 (200 bags) direct from kiwandani pale wazo hill hivyo naomba yoyote mwenye kuweza kunisaidia hili nahitaji bags 200...
  10. Qassy boee

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utaratibu wa kusomea urefa

    Habarini za jioni wanamichezo napend kuuliza kuulizia ofisi za marefaa
  11. F

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujuzwa hili

    Tafadhari wanajukwaa naomba mnisaidie kujua watumishi wa umma waliopata ajira July-2022 wamepata mshahara wa mwezi huu.
  12. aise

    JamiiForums Tanzania Msaada Simu yangu ya samsung imejiweka kialama cha funguo

    Wataalamu wa mambo simu yangu Samsung imejiweka kialama cha funguo kwa juu huku upande wa inapoonyesha betri. Siwezi kushusha skrini ili niwashe data, torchi etc. Wataalamu wa mambo msaada wa kukiondoa hiki kifunguo.
  13. Isolated

    JamiiForums Tanzania Msaada kasoma pcb kwa matokeo haya a Hague kozi gani

    Physics C Chemistry C Biology D BAM D USHAURI tu Mana naona kozi za afya ni ngumu kutoboa
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani yatoa msaada wa Kijeshi wa Bilioni 627 kwa Ukraine

    Marekani imetangaza kutoa msaada wenye thamani ya Dola Milioni 270 (Tsh. Bilioni 627.4) wa ulinzi kwa Ukraine ukihusisha roketi nne za kivita aina za HIMARS, ndege 580 ndogo zisizo na rubani na risasi 36,000 za bunduki za M777. Rais wa Marekani, Joe Biden ameweka wazi kuwa wataendelea kuisapoti...
  15. Mirio

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa makarani, wasimamizi wa maudhui na Tehama ipoje kwa kila kata msaada kwa anaejua tafadhari

    Msaada hapo kwa anaejua kuhusiana na mgawanyo wa hizo nafasi kwa Sasa
  16. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka mashine yangu ya kupimia pressure imeharibika, wapi napata fundi?

    Wadau hamjambo Nipo maeneo ya Mbezi beach naombeni msaada kwa mujibu wa kichwa Cha habari. Mashine yangu ya kidigitali ya kupimia mapigo ya moyo imeharibika Baada ya kudondoka chini na hivyo haisomeki vizuri. Wapi napata fundi wa haraka na aliye mjuzi? Nina mgonjwa nyumbani ambaye ni Mama...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Tunapoteza muda mwingi darasani kusoma vitu ambavyo havina msaada na maisha yetu

    Kwa takriban miongo sita (6) nchini Tanzania tunazidi kuwa Wimbi la ajira kwa vijana wanaotoka mashuleni kwa sababu ya kile tunachofundishwa darasani. Kwa sababu, tunafundishwa masomo ya kukariri na kwenda kujibia mtihani, kitu ambacho baada ya kufaulu ndipo unapoonekana ulielewa darasani ama...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Soko la dhahabu na Rubby Dar es Salaam

    Ndugu wafanyabiashara, wajasiriamali na wabobezi wa masuala ya uchumi wasalaam! Mimi huwa najishughulisha na uchimbaji wa madini ya Rubby na Dhahabu, sasa naomba kwa mwenye uzoefu wa soko zuri la rubby na dhahabu anielekeze ni wapi kuna bei nzuri au bei ina-range kuanzia kiasi gani kwa gram ya...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya waipa Ukraine msaada wa kijeshi wa Dola Milioni 508

    Umoja wa Ulaya (EU) umekubaliana kuipa Ukraine msaada zaidi wa kijeshi wa Dola Milioni 508 (Tsh Trilioni 1.17). Rais wa Baraza la EU, Charles Michel amesema mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ulaya wamekubaliana katika mkutano wao uliofanyika Brussels kujadili awamu nyingine ya vikwazo dhidi ya Urusi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye hili tatizo la Hotspot

    Wandugu nilikuwa natumia Samsung yangu kama hotspot bila shida. Tatizo lilitokea baada ya ku update software ya Samsung. Sasa kila nikijaribu kufanya connection, napata error kwenye laptop kuwa "Limited access " . Namejaribu ku Google kupata ufumbuzi nimeshindwa. Naomba msaada toka kwa...
Back
Top Bottom