Naomba kujuzwa utaratibu wa kusomea urefa

Kwa upande wa soka/football nenda Makao makuu ya TFF pale Karume. Ukifika pale kuna ofisi za Chama cha Marefa Tanzania watakupa utaratibu wote. Usiende mapema sana maana zinachelewa kufunguliwa.
 
Back
Top Bottom