Msaada kwenye hili tatizo la Hotspot

Msiri

Member
Jan 10, 2010
97
83
Wandugu nilikuwa natumia Samsung yangu kama hotspot bila shida. Tatizo lilitokea baada ya ku update software ya Samsung.

Sasa kila nikijaribu kufanya connection, napata error kwenye laptop kuwa "Limited access " . Namejaribu ku Google kupata ufumbuzi nimeshindwa.

Naomba msaada toka kwa maguru hapa.
 
Nina ka Samsung kangu A10s tangu juzi baada ya ku apdate hotsport na Bluetooth zimegoma kufanya kazi.. ukiwasha haziwaki..
 
Back
Top Bottom