Wengi wetu tuna hii dhana kuwa Tanzania ni nchi ya kupokea misaada tu. La hasha! Kulikuwa na wakati Tanzania ilikuwa ikitoa misaada, tena ya kifedha!
Mwaka 1975 ulikuja ujumbe wa Vietnam ukakutana na rais wa wakati huo Julius Nyerere. Ujumbe huo ulikuwa unatembelea nchi za duniani kuomba msaada...