Ni lugha zipi za kigeni zenye manufaa na zenye fursa hapa Tanzania?

Fullbawa

Member
Sep 7, 2022
7
4
Habari za wakati huu wana JF.

Samahani sana naombeni msaada wenu, nahitaji kuwa mtaalamu wa lugha za kigeni(kusoma, kuandika na kuongea kwa ufasaha) na nipo tayari kuanza kujifunza mwezi huu (mwezi wa nne). Je, ni lugha zipi za kigeni zenye manufaa na zenye fursa hapa nchini kwetu.

Natashukuru sana kama mkinisaidia kufahamu hizo lugha muhimu za kujifunza, mahali wanapofundisha na gharama zake, pia ushauri wowote kutoka kwenu ni muhimu sana maana naamini utanisaidia sana katika kufanikisha hili.

Ahsanteni sana.
 
Chinese (japo kwasasa wachina wanajifunza kiswahili ili wakafhndishe kwao na miaka michache ijayo watakuwa wanaongea kiswahili fasaha
 
Back
Top Bottom