Msaada wa namba ya simu ya mtumishi yoyote wa mahakama ya mwanzo Chamwino

witacha matiku

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
678
126
Wadau naomba mwenye access na Mahakama ya mwanzo ya Chamwino anisaidie namba ya mtumishi yeyote pale/namba ya mtu ambaye atasaidia nipate hiyo namba.

Natanguliza Shukrani
 
Back
Top Bottom