Hesabu zimekaaja hapa kati ya Daraja la Bilioni 7 Kibiti na Jengo la Abiria la Mpanda lililogharimu Bilioni 1.4?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,484
20,436
Jengo la abiria Mpanda (pichani) litagharimu bil 1.4 .
FB_IMG_16794932085979103.jpg


Wakati huohuo daraja hili limetafuna bilioni 7 huko Kibiti.
images (19).jpeg


Yaani unahitaji majengo matano ya abiria huko Mpanda kujenga daraja moja Kibiti.
Mainjinia tofauti hii inasababishwa na nini? Au kwa vile Kibiti iko jaribu na Dar? Je wananchi wa Kibiti wangeulizwa Kama wanataka daraja au hiyo terminal wangechagua nini?
 
Back
Top Bottom