Msaada kwa anayejua college au vyuo vya ufundi nje ya Tanzania kama vile Marekani, Canada n.k

Jicholamwewe

JF-Expert Member
Jan 2, 2021
307
348
Habali wakuu?

Poleni kwa mishemishe za hapna na pale.Mimi natafuta college za nje ili niweze kuapply sabab binafisi natamani sana kwenda nje hii ni ndoto kubwa ktk maisha yangu ambyo nilijiwekea.

Nimejalibu njia nyingi lkn bado sijafanikiwa nikaona ngoja nijalibu kwa upande wa elimu. Mimi Nina certificate ya maabara in general yan popote ambapo kuna maabara Mimi napiga mishe kama assistant.

Kwahyo yeyote anayefaham college au ulishawahi kuomba BC anisaidie lengo ni kutimiza ndoto zetu ktk life.asanteni sana.
 
Viongozi habalini?.natafuta college au vyuo vya ufundi nje ya nchi ili niweze kuapply.kwa anayevijua plz naomba anijuze .Nina ndoto za kwenda ughaibuni lkn nimejalbu kila njia bado BC nimeona nijalibu ktk elimu .Nina certified of laboratory assistant in general
 
Habali wakuu?

Poleni kwa mishemishe za hapna na pale.Mimi natafuta college za nje ili niweze kuapply sabab binafisi natamani sana kwenda nje hii ni ndoto kubwa ktk maisha yangu ambyo nilijiwekea...
Umejaribu njia nyingi zipi?
 
Umejaribu njia nyingi zipi?
Agents,kuapply job mtandaoni
Umejaribu njia nyingi zipi?
Agents, kuapply job mtandaoni,kutumia watu wengine kama connection na green card
Screenshot_20230326-204833.png
 
Back
Top Bottom