Msaada kuhusu kubadili vyeti NACTE

Ndenzaamo

Member
Feb 14, 2019
5
1
Kwa wale tulio soma diploma miaka miwili yani non NTA levels, na kupata cheti kimoja.

Je, tunaweza kupata msaada NACTE tukarudisha kile cheti tukapewa vyeti viwili kwamaana ya kila mwaka uwe na cheti chake, means tupate cha NTA level 5 na NTA level 6 badala ya cheti kimoja kinachojumuisha miaka miwili pamoja.

Maana tunapata shida kwenye maombi ya kazi kwani kuna muda wanahitaji cheti cha NTA level 5 tu bila kujali wengine level hio tumesoma but hatujapewa vyeti katika mchanganuo huo, kwani kama nikusoma tumesoma sawa na wengine, certificate hadi diploma wote tumepita miaka mitatu kila walichosoma tumesoma kasoro aina vyeti na mchanganuo.
 
Back
Top Bottom