Naitaji msaada wa haraka
Mimi ni mtumishi kutoka wizara ya mambo ya ndani,nina miaka 2 kazini, Mshahara wangu laki tano.
Nataka kukopa kuanzia million 20 je inawezekana , Kama aiwezekani nitapata bei gani.
Kwenye mfumo wa ESS inaleta pesa kidogo nataka niende Branch yao,Natumia CRDB Je vitu...