Hakuna mkataba wa mradi wowote wananchi tumewahi kuhusishwa kuupitia. Huu wa Bandari ya Bagamoyo hawawezi kuuweka wazi

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
304
401
Mjadala uliyoshika akili za watu kwa sasa ni faida na hasara za kuendelezwa kwa Ujenzi wa Mradi wa Bandari ya Bagamoyo.

Maneno hofu imekua kubwa juu ya yaliyomo katika mkataba wa mradi huu wengi wakitaka UWAZI na USHIRIKISHWAJI kwa wananchi wauone mkataba.

Taifa hili halina utaratibu huo, halijawahi na halitathubutu kufanya hilo. Taifa lililojaa viongozi WABINFSI, WEZI na VIBARAKA wabeba maslahi ya nchi kwa ajili ya MATUMBO yao hawatakubali hili.
 
Viongozi wa Upinzani na wa Chama twawala waungane kwenye hili jambo halafu tuitishe Maandamano ya kudai kuwa tuonyeshwe Mkataba wa Bwagamoyo

Wakati huohuo sisi tubebe na Mabango yetu ya Katiba Mpya
Hapo kitaeleweka na wakati huo huo tufuatilie kuangalia kama Ndugaye hana accont nchi za nje na kama ipo nilini iliingiza miamala kutoka china.
 
Mjadala uliyoshika akili za watu kwa sasa ni faida na hasara za kuendelezwa kwa Ujenzi wa Mradi wa Bandari ya Bagamoyo.

Maneno hofu imekua kubwa juu ya yaliyomo katika mkataba wa mradi huu wengi wakitaka UWAZI na USHIRIKISHWAJI kwa wananchi wauone mkataba.

Taifa hili halina utaratibu huo, halijawahi na halitathubutu kufanya hilo. Taifa lililojaa viongozi WABINFSI, WEZI na VIBARAKA wabeba maslahi ya nchi kwa ajili ya MATUMBO yao hawatakubali hili.
Ndugai ameshavuta advance yake tayari
 
Hapo kitaeleweka na wakati huo huo tufuatilie kuangalia kama Ndugaye hana accont nchi za nje na kama ipo nilini iliingiza miamala kutoka china.
Hili jambo ni la Watanzania wote bila kujali Itikadi za Vyama vyao

Inakuwa ni Okoa Jahazi Movement.
 
Hawawezi kumuua Raisi aliyepo Madarakani, halafu na sisi watupige changa la macho Big NO! Mr Ndugai!

Huo ni Uhaini Mr. Ndugai unatakiwa uwe Kizimbani
 
Hili jambo ni la Watanzania wote bila kujali Itikadi za Vyama vyao

Inakuwa ni Okoa Jahazi Movement.

Si mmesema JPM hakuwa lolote jema kwa taifa hili???

Wacha katazo litenguliwa tujengewe bandari mkuu

Lala salama shujaa wetu John Pombe Magufuli
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom