mradi

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji Usioridhisha wa Mradi wa Uzalishaji wa Sukari Mbigiri

    Mradi wa Uzalishaji wa Sukari Mbigiri ambao unamilikiwa na kampuni tanzu ya Mkulazi uliyopo Wilayani Kilosa, Mkoani Morogoro una lengo la kuzalisha sukari tani 50,000 kwa mwaka. CAG alibaini mapungufu katika utekelezaji wa mradi huu kama ifuatavyo; a). Kampuni ya...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Waziri Januari Makamba hakikisha mradi wa bwawa la umeme la mwalimu Nyerere unakamilika

    Nawasalimu wanaJF. Natoa nasaha kwa Januari Makamba Waziri wa Nishati ahakikishe anafanya commitment ya fedha kwenye strategy sahihi yaani ukamilishaji wa mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere hata kama hapendi. Sidhani kama watanzania wanahitaji solutions za muda mfupi za vimegawati 80 katika...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nadhani sasa mtaamini kwamba ule uliyoitwa mradi wa kimkakati, TUMEPIGWA

    Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna. Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?! Kwa haya anayo yaongea PM kuna...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Wancuntong wawezesha wanavijiji wa mbali barani Afrika waungane na Dunia

    Bibi Justin ni mkazi wa kijiji cha Bwelanga, wilaya ya Wakiso, nchini Uganda. Siku hizi anafurahi sana, kwani kutokana na mradi wa msaada wa “Wancuntong” uliotolewa na China, kampuni ya China ilifunga vipokezi vya televisheni vya kidijitali nyumbani kwake, na sasa anaweza kutazama TV ili kuelewa...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji Jordan wenye takriban miaka 2,000 bado unahudumia watu

    Ancient Nabataeans Water Management: The 2,000 year old city of Petra,Jordan, known for its magnificent temples carved into its red sandstone cliffs is also home to an incredible feat of hydraulic engineering. An extensive water supply system turned this ancient city into a man- made oasis...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anaeona kuchelewa kwa mradi ni kawaida tena anaongea kwa kutetea hilo

    Kutokana na kuibuka kwa hoja kwanini mradi wa Bwawa la Mwl. Nyerere umechelewa na huko asilimia karibu 45 hadi sasa, na kimkataba ilitakiwa asilimia karibu 90. Mhe. sana Waziri wa nishati, Makamba akasimama kutoa maelezo. Katika maelezo yake, ambayo yalijaa maneno matupu, na si kueleza...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji chalinze umekamilika asilimia 98

    CHALINZE Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amekagua na kuridhika kuruhusu maji yaanze kutumiwa na wananchi katika maeneo ya Chalinze ambapo miundombinu imekamilika. Hizi ni habari njema kwa wananchi wa Chalinze ambao kwa muda mrefu wanahangaika na shida ya maji. Kwa upande wa Mbunge wa Jimbo...
  8. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Mradi wa Bagamoyo ni moja ya miradi iliyoko mioyoni mwa watanzania nikiwemo Mimi japo wengi hawasemi Kwa sasa. Ni Kati ya vitumbua vya Taifa vyenye mchanga. Huu mradi ni kipimo Kwa Serikali ya Mama Samia maana ni kati ya miradi tukiingia kichwa kichwa mchina atakuwa kapata upenyo wa kutukaba...
  9. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC yatarajia kupokea vichwa vipya vitatu vya treni kupitia mradi wa TIRP

  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kijana changamkia fursa katika mradi wa bomba la mafuta

    #SISITANZANIA #WETANZANIA - KIJANA CHANGAMKIA FURSA KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA. Kama Vijana wa Tanzania tumekuwa na taarifa juu ya Miradi Mingi sana ambayo serikali yetu imekua ikiendelea kuitekeleza kwa maendeleo ya Taifa letu, Je! Sisi Kama Vijana ni Fursa zipi za kiuchumi tunaweza...
  11. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Temeke: DC Jokate Mwegelo azindua mradi wa usalama barabarani

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo siku ya Ijumaa 22/10/2021 amezindua mradi wa Usalama Barabarani katika Kata ya Temeke kwa shule za msingi Ruvuma na Madenge chini ya ufadhili wa shirika lisilo la kiserikali la Amend kwa ushirikiano na ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

    Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa" ____________________________________________ Magufuli anabiringika kaburini. Tulikuwa tunaambiwa...
  13. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu TRC akutana na Balozi wa Rwanda kujadili mradi wa SGR Isaka - Kigali

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania – TRC Masanja Kadogosa akutana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Meja Jenerali Charles Karamba na kujadili kuhusu utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Isaka – Kigali, mazungumzo hayo yamefanyika katika ofisi ya Mkurugenzi Mkuu TRC...
  14. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kuulinda uoto wa asili jiji la Dar es Salaam

    Hapa Muhimbili kitengo cha tiba asili. CHIPE nikihudhuria semina kuhusu kongamano la ku zisema urejeshaji wa uoto wa asili katika mij hii inayokua kwa kasi, mada ikitolewa na manguli wa tasnia china ya ICLEI. Kwa nini katika majumba yetu kila mtu asianze kupanda miti katika eneo lake ya asili...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Tanzania mradi wa Liquefied natural gas (lng) unahitaji "Amani" ya kiwango cha juu

    Bi. Jesca Kishoa, Mbunge. Kielelezo cha Amani Ulimwenguni mwa Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kufikia mwaka 2020 kiliorodhesha Tanzania 52 katika nchi 163, na alama 1.85, chini ya Senegal, Botswana, Ghana na Zambia. Mauritius ilikuwa nchi yenye amani iliyoshika nafasi ya 23 kwa alama 1.54...
  16. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Je, Vyoo vya Shule za Serikali vinajengwa hivi?

    WATOTO WETU WOTE WATAINGIA FORM 1 MWAKA HUU HATUNA SECOND SELECTION TUMEJENGA MADARASA YA KUTOSHA RAIS AMETOA 842 BILIONI alisikika kiongozi mmoja akinadi kwa bashasha na masham sham sera za Chama
  17. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kusimamia mradi wa biashara

    Habari za za leo watu jf mm n mkazi wa Dar, Nina miaka 24 mwanafunz wa degree bachelor of Economics and int trade. Niko China kimasomo, lakin kwasabb y corona, Bado tuko bongo turirud since 2020 niko naendelea n online studies. Lengo la kuandika ni kuwa naomba kazi yoyote y kusimimamia mradi...
  18. CASSIUS

    JamiiForums Tanzania Poultry farm Manager (Msimamizi wa Shamba la Mradi wa ufugaji wa Kuku wa Nyama)

    Anahitajika mtaalamu wa kilimo na mifugo mwenye elimu ya kuanzia ngazi ya stashahada mwenye ujuzi na uzoefu kwenye tasnia ya ufugaji wa kuku wa nyama wa kisasa. Eneo la Mradi: Kazimzumbwi - Kisarawe (Pwani) Anatafutwa mtu mwenye sifa:- Mwenye ujuzi na uzoefu wa kusimamia na mradi wa ugugaji wa...
  19. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kutoka Julius Nyerere International Convention Centre: Kongamano la Maudhui ya wazawa Kushiriki Mradi wa Bomba la Mafuta ECOP

    Mgeni Rasmi, Waziri wa Nishati na Madini Mh. January Makamba, wengine ni naibu waziri wa nishati na Madini
  20. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Partner Anahitajika Katika Mradi Wa Mafunzo Ya Sabuni Papo Kwa Papo

    Asilia Natural Cosmetics tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 5 katika kuendesha mafunzo kwa vitendo ya bidhaa za nyumbani. Na sasa tumekuja na formula rahisi ya kuwezesha uzalishaji wa sabuni ya kipande papo kwa papo bila kusubiri masaa 24 wala kutumia jiko, wala kutumia mashine. Hivyo, tunahitaji...
Back
Top Bottom