TANESCO mtusaidie kijiji hiki wasimamizi mradi wa REA wanatuibia sana

Spiritual Man

Member
Apr 26, 2021
5
45
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nikiwa kama muwakilishi wa wanakijiji wenzangu wenye uchungu,majonzi na masikitiko.Moja kwa moja nafikisha malalamiko kwenu shirika letu la umeme Tanzania TANESCO juu ya RUSHWA kubwa iliyotawala katika usimamizi wa mradi wa umeme wa rea katika kijiji cha ZIÑGIBARI,kitongoji cha ZIÑGIBARI wilaya ya MKINGA kata ya MOA mkoa wa TANGA.

Hawa wasimamizi hili wakuunganishie umeme lazima wakutoze pesa nyingi ambazo si rasmi ndio ufungiwe umeme

Baada ya MRADI kukamilika wengine walitozwa 150,000 inaitwa ya soda

Wengine 70,000

Wengine 40000

Ukishalipa hizo yule anayekuja kukufungia mita anataka 10,000 tena,kuna mmoja alikataa kulipa hiyo elfu kumi huyu mtanesco kakasirika na kuondoka na mita.

Sasa awamu hii
Tumeshakamilisha kila kitu na surveyor akafika kalamba 15,000 kila nyumba akafanya kazi yake.

Baada ya hapo Tumefanya malipo yote halali 27,000 Tsh. na kupatiwa risiti na tukajulishwa tusubiri kuja kufungiwa mita

Muda mrefu umepita bila taarifa yoyote na hatimaye tumeletewa taarifa kila anayehitaji apate umeme basi atoe 70,000

Ukitoa leo ukiwapa kesho anakuja anakufungia mita hata kama uko pekee yako.(juzi mwenzetu mmoja alifungiwa pekee yake likaachwa kundi zima)

Na sasa wanatisha kwa kusema muda wowote wanakabidhi MRADI kwa TANESCO na sisi ambao hatujafungiwa ndio basi imekula kwetu.

JE, HIVI NDIVYO MLIVYOWATUMA HAO MLIOWAKABIDHI MRADI HUU WATUFANYIE?

Kama sivyo muwashughulikie haraka kwani wanalitia doa Shirika letu,

Mwanakijiji Mtiifu
Kitongoji cha ZIÑGIBARI
Kata ya MOA
Wilaya ya Mkinga
 
TANESCO

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
3,402
2,000

Tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa ufatiliaji zaidi.Tunaendelea.kuwasihi wape dwa wateja wetu kujenga tabia ya kuacha kutoa rushwa au malipo yeyote yasiyo na risiti
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,691

Waziri yupo
Mkuu wa Mkoa yupo
DC yupo
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,691
2,000
Tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa ufatiliaji zaidi.Tunaendelea.kuwasihi wape dwa wateja wetu kujenga tabia ya kuacha kutoa rushwa au malipo yeyote yasiyo na risiti
Mnawaachaje watendaji bila usimamizi? Haya yote yanatokea kwakuwa Tanesco mmeyabariki, kama kungekuwa na usimamizi wa kutosha hapangekuwa na aina hii ya malalamiko, hakuna haja ya kutaka namba za simu, mara zote mnakimbilia namba za simu badala ya ninyi kukimbilia tukio

Shame on you
 
kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,679
2,000
Nchi hii imefikia kiwango cha rushwa kwa asilimia199% shirika la TANESCO wakiongoza
 
Spiritual Man

Member
Apr 26, 2021
5
45
Tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa ufatiliaji zaidi.Tunaendelea.kuwasihi wape dwa wateja wetu kujenga tabia ya kuacha kutoa rushwa au malipo yeyote yasiyo na risiti
Kwanza nashukuru kwa kuliona na kulijibu bandiko hili,

Pili niwaombe radhi TANESCO sitaweza kuwapatia namba ya simu maana mwanzo ilitokea namba hiyo mliwapa walewale wenyeviti na watendaji husika wa vijiji na vitongoji ambao nao wanakula pamoja na walalamikiwa bila nyinyi kujua.

Hivyo hili ni jambo la wazi hata mkifika sehemu husika na kuulizia mtapata hizo mambo vitongoji vyote.

Ni vyema muanzie huku na kumalizia hizo changamoto
 
Holy Man

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
4,296
2,000
Swala lako la rushwa , usiangaika kuja kuchomeana utambi na kuharibu ushahidi.. Unge toa taatifa PCCB kama Tanesco mme wafikishia taarifa na kushindwa fatilia. Maana hapo wilayani kuna kamati ya ulinzi ndio kazi yake hiyo.. wangeshikwa chap.. au Polisi kuna Task Force inayo deal na miradi ya REA na wapo shap kweli
 
Bado rushwa imetawala kwa kasi,na inaendelea. nafanyia kaz wiki hii ushauri wako.
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,691
2,000
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nikiwa kama muwakilishi wa wanakijiji wenzangu wenye uchungu,majonzi na masikitiko.Moja kwa moja nafikisha malalamiko kwenu shirika letu la umeme Tanzania TANESCO juu ya RUSHWA kubwa iliyotawala katika usimamizi wa mradi wa umeme wa rea katika kijiji cha ZIÑGIBARI,kitongoji cha ZIÑGIBARI wilaya ya MKINGA kata ya MOA mkoa wa TANGA.

Hawa wasimamizi hili wakuunganishie umeme lazima wakutoze pesa nyingi ambazo si rasmi ndio ufungiwe umeme

Baada ya MRADI kukamilika wengine walitozwa 150,000 inaitwa ya soda

Wengine 70,000

Wengine 40000

Ukishalipa hizo yule anayekuja kukufungia mita anataka 10,000 tena,kuna mmoja alikataa kulipa hiyo elfu kumi huyu mtanesco kakasirika na kuondoka na mita.

Sasa awamu hii
Tumeshakamilisha kila kitu na surveyor akafika kalamba 15,000 kila nyumba akafanya kazi yake.

Baada ya hapo Tumefanya malipo yote halali 27,000 Tsh. na kupatiwa risiti na tukajulishwa tusubiri kuja kufungiwa mita

Muda mrefu umepita bila taarifa yoyote na hatimaye tumeletewa taarifa kila anayehitaji apate umeme basi atoe 70,000

Ukitoa leo ukiwapa kesho anakuja anakufungia mita hata kama uko pekee yako.(juzi mwenzetu mmoja alifungiwa pekee yake likaachwa kundi zima)

Na sasa wanatisha kwa kusema muda wowote wanakabidhi MRADI kwa TANESCO na sisi ambao hatujafungiwa ndio basi imekula kwetu.

JE, HIVI NDIVYO MLIVYOWATUMA HAO MLIOWAKABIDHI MRADI HUU WATUFANYIE?

Kama sivyo muwashughulikie haraka kwani wanalitia doa Shirika letu,

Mwanakijiji Mtiifu
Kitongoji cha ZIÑGIBARI
Kata ya MOA
Wilaya ya Mkinga
Andamaneni kwa RC mkiwa na media watanyooka
 
Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
5,114
2,000
Tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa ufatiliaji zaidi.Tunaendelea.kuwasihi wape dwa wateja wetu kujenga tabia ya kuacha kutoa rushwa au malipo yeyote yasiyo na risiti
@tanesco achani udwanzi!! Sasa namba za simu za nini.?? Mtu anatoa taarifa za rushwa unaomba namba za simu??? Taratibu zinasema mteja akishalipia ni siku 28 za kazi anapaswa kuwa amefungiwa mita.
 
walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
4,210
2,000
Rushwa kwa tanesco bado tatizo sana, mama wanamkwamisha sana imajini garama za umeme zimepunguzwa kwa makusudi kabisa hili kila mwananchi apate mwanga sasa wanatokea wauni wachache wanaleta tamaa sijui kama tutafika kwa staili hii
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,519
2,000
Kwanini msiweke matangazo yenu ya kuwataarifu wateja wenu nchi nzima kuacha kutoa rushwa au kufanya malipo yasiyo na risiti, kwenye TV na Redio!?

Tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa ufatiliaji zaidi.Tunaendelea.kuwasihi wape dwa wateja wetu kujenga tabia ya kuacha kutoa rushwa au malipo yeyote yasiyo na risiti
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
3,925
2,000
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nikiwa kama muwakilishi wa wanakijiji wenzangu wenye uchungu,majonzi na masikitiko.Moja kwa moja nafikisha malalamiko kwenu shirika letu la umeme Tanzania TANESCO juu ya RUSHWA kubwa iliyotawala katika usimamizi wa mradi wa umeme wa rea katika kijiji cha ZIÑGIBARI,kitongoji cha ZIÑGIBARI wilaya ya MKINGA kata ya MOA mkoa wa TANGA.

Hawa wasimamizi hili wakuunganishie umeme lazima wakutoze pesa nyingi ambazo si rasmi ndio ufungiwe umeme

Baada ya MRADI kukamilika wengine walitozwa 150,000 inaitwa ya soda

Wengine 70,000

Wengine 40000

Ukishalipa hizo yule anayekuja kukufungia mita anataka 10,000 tena,kuna mmoja alikataa kulipa hiyo elfu kumi huyu mtanesco kakasirika na kuondoka na mita.

Sasa awamu hii
Tumeshakamilisha kila kitu na surveyor akafika kalamba 15,000 kila nyumba akafanya kazi yake.

Baada ya hapo Tumefanya malipo yote halali 27,000 Tsh. na kupatiwa risiti na tukajulishwa tusubiri kuja kufungiwa mita

Muda mrefu umepita bila taarifa yoyote na hatimaye tumeletewa taarifa kila anayehitaji apate umeme basi atoe 70,000

Ukitoa leo ukiwapa kesho anakuja anakufungia mita hata kama uko pekee yako.(juzi mwenzetu mmoja alifungiwa pekee yake likaachwa kundi zima)

Na sasa wanatisha kwa kusema muda wowote wanakabidhi MRADI kwa TANESCO na sisi ambao hatujafungiwa ndio basi imekula kwetu.

JE, HIVI NDIVYO MLIVYOWATUMA HAO MLIOWAKABIDHI MRADI HUU WATUFANYIE?

Kama sivyo muwashughulikie haraka kwani wanalitia doa Shirika letu,

Mwanakijiji Mtiifu
Kitongoji cha ZIÑGIBARI
Kata ya MOA
Wilaya ya Mkinga
Waziri WA nishati hiki ni kilio nchi mzima penye REA. Cha kushangaza transformers zinazowekwa na REA ni mdogo sana kiuwezo haziwezi kuendeshwa kiwanda na wananchi wakapata umeme wa kutosha.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom