MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,262
- 1,220
Nimejiuliza Sana. Kila barabara zinazojengwa sasa, hukosi WACHINA au raia wengine wa Kigeni, ni kweli tuko hoi kiasi Hicho?
Unajiuliza nini mkuu mfano mdogo tu interview nyingi mbongo na mkenya mbongo anapigwa chiniHILI SWALI NAJIULIZA HADI LEO NAKOSA JIBU
BASI KUNA TATIZO MAHALIUnajiuliza nini mkuu mfano mdogo tu interview nyingi mbongo na mkenya mbongo anapigwa chini
Nimejiuliza Sana. Kila barabara zinazojengwa sasa, hukosi WACHINA au raia wengine wa Kigeni, ni kweli tuko hoi kiasi Hicho?
Kweli mdau tunachukuliana oya oya sababu ya kujuanaUsilolijua ni kama usiku wa giza kampuni nyingi za kichina zinashinda tenda na zina mitaji ya kuweza kujenga hata nusu ya kazi bila kuomba malipo maana zinawezeshwa na Nchi yao. Kampuni za kibongo changamoto ni mitaji pia halafu huwezi tupia pesa yako karibia nusu ya kazi bila kuomba malipo maana kuidai serikali inahitaji moyo unaweza filisika na kampuni kufa kabisa bora kampuni za kigeni wanaweza kuelewana hata wakapewa kitalu kufidishia deni lao.
Za kuambiwa changanya na zako.
Wabongo wakipewa wanapigaHILI SWALI NAJIULIZA HADI LEO NAKOSA JIBU
Kwani hakuna mikataba inayowabana ikiwa kazi haijafanyika kwa kiwango kilichotakiwa?Wanaoweza wapo sana sema wanaharibiwa sifa na wasiojielewa wakipewa kazi.
SIO KWAMBA KUNA UPENDELEO?Wabongo wakipewa wanapiga
Kuna siku nlipita barabara ya bakwata ile mpya....mjenzi aliyejenga mzushi kichizi
Ona sasa mchina alivyojenga barabara kinondoni bwawani barabara inaonekana
Ova
Hata kama upendeleo makampuni ya kibongo wezi tu wapigajiSIO KWAMBA KUNA UPENDELEO?
BASI NDIO MAANA AISEEHata kama upendeleo makampuni ya kibongo wezi tu wapigaji
Kuna kampuni ya mbongo alipewaga atengeneze barabara ya kinondoni kuelekea salenda....kazi ilikuwa uhuni mtupu
Kwanza laminate alikuwa anachemsha kwa kutumia mapipa na kuni (Nilishawahi mtukana huyo mkandarasi live)
Ova