mpya

  1. Muonekano mpya wa Chid Benz

    Huyu sasa ndo KING KONG halisi. Jamaa ka-improve sana,kawa mbavu kinyama gym halisemi uongo, hana tena muonekano wa kiteja, usijerudia tena unga mzee.
  2. Ajira Chuo kikuu kishiriki cha Marian- MARUCO cha Bagamoyo

    Chuo kikuu kishiriki cha Marian- MARUCO kilichopo Bagamoyo kinatangaza nafasi za assistant lecturer, lecturer na senior lecturer katika masomo ya Chemistry, Physics, English, History na Economics Vigezo ni 3.5 undergraduate na 4.0 Masters (Minimum requirements) Kwa maelezo zaidi I have...
  3. Mlipuko mpya wa virusi vya Corona waibuka jijini Beijing, China kutoka kwa samaki kwenye soko la vyakula la Xianfadi

    Wakazi wa Beijing wamerudi kwenye hali ya taharuki ya hapo awali janga la Corona lilipoibuka baada ya serikali yao kuweka sehemu za jiji lao kwenye total lockdown na kuwashurutisha maelfu ya watu kupimwa. Hii inafatia mkurupuko mpya wa COVID-19 ulioibuka kutoka kwa samaki aina ya 'Salmon' ndani...
  4. P

    Midahalo ya wagombea Urais :- CHADEMA ni wakati wenu kujenga ustaarabu mpya Nchini

    Kwenye nchi zenye demokrasia iliyostawi , harakati za kuomba kuteuliwa kuwa Rais huanzia ndani ya Chama , ambako wagombea wote wanaotaka kupeperusha bendera huwa na midahalo ya wazi juu ya masuala mbali mbali , na hurushwa LIVE , huu ni ustaarabu mzuri kwakua mgombea atakayepita anakua amepimwa...
  5. B

    Zitto Kabwe 'azitoboa' bajeti 5 za serikali ya CCM Mpya

    June 14 2020 Source : Wazalendo TV KIONGOZI wa chama cha siasa cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amekosoa Bajeti kuu ya serikali na kusema, kila bajeti inapaswa kutafsiri maono, malengo na shabaha, ambazo hazijawahi kuonekana tangu Rais John Magufuli, kuingia madarakani.” Akizungumza...
  6. Wakati Umma wa watanzania unatamani tuwe na Katiba mpya iliyoboreshwa, watawala wao wanaendelea kututungia sheria za ukandamizaji!

    Kilio cha muda mrefu cha Umma wa watanzania ni tuwe na Katiba mpya ya nchi ambayo itakuwa imepanua wigo wa demokrasia na kuleta utawala bora, ambao ni utawala wa sheria Ndiyo maana katika vitu ambavyo Rais aliyepita, Jakaya Kikwete, angeingia katika rekodi za kutukuka ni kama angefanikiwa...
  7. Prof. Issa Shivji: Sheria mpya inaenda kuua uzalendo na uwajibikaji wa viongozi wakuu wa mihimili, na nguvu za mihimili anaenda kupewa Rais

    Tanzania abolishes Public Interest Litigation (A Comment on the Amendment of Basic Rights and Duties (Enforcement) Act (Cap. 3 of the Revised Laws of Tanzania) By Issa G. Shivji Emeritus Professor of Public Law University of Dar es salaam The National Assembly of Tanzania on 10 June 2020...
  8. House4Sale Nyumba inauzwa mil90 ipo Mbezi ya Kimara jirani na Stand Kuu Mpya

    Nyumba yenye vyumba 5 ikiwa kwenye hali nzuri. Ina uwanja mbele na nyuma Mita za mraba 1500 Inauzwa mil 90 maongezi yapo Karibuni simu 0768412181 Mbezi Kimara
  9. L

    INAUZWA Nauza jenereta ipo vizuri kabisa ni kama mpya tu

    Nauza Jenereta kama unavyoiona kwenye picha hapo na specification zake, unaweza kutumia nyumbani, dukani, salon , au ofisini n.k ipo vizuri kabisa haina shida yoyote ni kama mpya tu. Ipo KIJICHI CCM, DAR, serious buyer nipigie simu 0762689222. BEI 280,000 piga simu kwa maelewano 0762689222.
  10. Baraza la Mawaziri nchini Burundi limesema kwamba linaongoza nchi hadi Rais mpya atakapoapishwa

    Uamuzi huo ulifikiwa kufuatia mkutano uliyofanywa siku ya Alhamisi chini ya uongozi wa Makamu wa Rais wa kwanza Gaston Sindimwo. Kufikia sasa bado haijabainika ni lini kiongozi mpya ataapishwa, japo katiba iko wazi kuwa Spika wa bunge la kitaifa Pascal Nyabenda alitakiwa kuapishwa kushikilia...
  11. Microsoft haitauza teknolojia ya utambuzi wa sura, hadi itakapoundwa sheria mpya

    Kampuni ya Microsoft imeungana na washindani wake, Amazon na IBM kukataa kuuza teknolojia ya kutambua sura kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini humo Wamesema hawatawagea teknolojia hiyo hadi itakapotambulika namna ambayo itatumika huku ikiheshimu haki za binaadamu Hatua ya hiyo imekuja kama...
  12. Wadau wa utalii mna mtazamo gani kuhusu uamuzi mpya ukusanyaji wa mapato yanayotokana na utalii?

    Serikali imeazimia kuipa mamlaka TRA kuhusika moja kwa moja na ukusanyaji wa mapato yanayotokana na utalii katika taasisi hizi TANAPA, NCCA, na TAWA. Je, huu uamuzi kwa mtazamo wako una athari chanya au hasi katika utalii?
  13. Muhula mpya wa masomo kwa ngazi ya Cheti na Diploma

    Salam ndugu wana JF, Naomba kuuliza, hivi application za vyuo kwa ngazi ya diploma na cheti tayari zimeanza au tayari muda wake umeshapita? Kwa mwaka 20/21 Ninamdogo wangu nahitaji nimfanyie usajili kwa wenye uzoefu au taarifa zinazo husu naomba msaada. Asanteni!
  14. Mkuu wa Vituo vya Udhibiti wa Magonjwa Afrika: Tunatumaini Tanzania itashirikiana nasi na kutoa takwimu mpya za COVID-19

    Mkuu wa Vituo vya Afrika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika anasema "tunaendelea kubaki na matumaini" kwamba Tanzania itashirikiana kwa kutoa takwimu zake za COVID-19 hata kama Rais wa nchi hiyo alishatangaza ushindi dhidi janga hilo. John Nkengasong anasema "wanaelewa hali hatarishi na...
  15. MwanaJF mpya, nipokeeni

    Baada ya rafiki zangu wengi kuwa wanaongelea sana habari wanazopata JF hasa kwenye mambo ya siasa na kijamii, na mimi nikaona bora nijiunge. natumaini nitakaribishwa kwa mikono miwili.
  16. Maendeleo ya mji mpya Boko, Bunju na Mbweni yanahitaji Wilaya mpya na Jimbo

    Umuhofia kwenyu, Serikali INA haja ya kuangalia uwezekano kuunda wilaya ya miji mipya, boko, bunju na mbweni, miji hii inaendelea kwa kasi kiasi kwamba huduma za jamii zinakwama kufuatana wingi watu na matukio mbalimbali ambayo yangemalizwa kijimbo/ kiwilaya. Miji hii inakaa wakazi wengi...
  17. Ona katiba mpya ya Kenya inavyowatesa Wakenya

    Kamwe fahari wawili hawawezi kaa zizi moja. Katiba yao mpya iliweka fahari zaidi ya watatu katika zizi moja. Ona sasa mambo ya utawala wa nchi unavyokuwa mgumu.
  18. Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  19. K

    Shule mpya ya Sekondari ya Kisarawe

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwako mkuu wa wilaya yetu ya Kisarawe! Napenda juhudi zako,u bunifu wako na fighting spirit chanya juu ya wilaya yetu. Sambamba na juhudi zako ndani ya muda mfupi kumekuwa na mabadiliko mazuri ndani ya wilaya, nakupongeza sana. Nije kwenye kiini cha...
  20. T

    Trump aanza kuirudisha Marekani mahala pake, mwezi May aongeza ajira mpya 2.5M

    Ndio maana mimi sio muumini wa hizi zinaitwa projections au utabiri kutoka kwa wataalamu au wachambuzi wa utabiri sijui analysts projects this, projects that. Mimi hua nasema hizi ni sawa na usoma nyota na upiga ramli. Kwa mfano wanaoitwa wataalamu wa uchambuzi walitabiri Afrika tutakua na vifo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…